Sipendi mwanamke mchafu kabisa

Kwa kusoma maandishi yako i can imagine how boring ur sex life is. Pia unakatabia ka uchafu kwa mbali[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Msema kweli mpenzi wa Mungu mimi vyombo naosha mara moja kwa siku. Labda nikiwa na wageni ndani
Hahaha!! unaosha kabla ya kula, wavivu wengi hufanya hivyo lakini moyoni wanajua kwamba si sawa vombo kukaa zaidi ya saa 1 vikiwa vichafu.. kama wewe unafanya na unaona ni sawa basi wewe ni mchafu sio mvivu[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Naosha baada mkuu
 
Utapata mke mchafu na utazoea, lazima mtofautiane ili muishi.
 
aisee ww ni Mchafu hata mm huwa sirudii nguo kabisa bila kuifua
 
Au jamaa we ni kauka nikuvae?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapa mwezi sijafua nakazi ya kurudia rudia nguo tu.... Nikiona inatishatisha naweka kwenye kitenga cha nguo chafu.... Maswala ya kujipa shida siwezi mimi
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hapo kwenye shuka hapana labda kama hampigi show vizuri..ukikojozwa wakojolea nn weye?? Hahhahh
 
Hakuna kitu kama hicho
Kwajinsi tabia yako ilivyo ni vema ukapata mke mchafu kwani hapo mtakuwa sawa kuliko kupata mke msafi maaana anaweza kuwa msafi zaidi yako kisha ukajiona umchafu zaidi kwake kuliko unavyojidhania.
 
Hapo kwenye shuka hapana labda kama hampigi show vizuri..ukikojozwa wakojolea nn weye?? Hahhahh
Hayo mambo ya kukojozwa sijawahi kukutana nayo kabisa. Hivyo shuka huwa linabaki kama lilivyo.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…