Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,101
Kwajinsi tabia yako ilivyo ni vema ukapata mke mchafu kwani hapo mtakuwa sawa kuliko kupata mke msafi maaana anaweza kuwa msafi zaidi yako kisha ukajiona umchafu zaidi kwake kuliko unavyojidhania.Sasa sipati picha nikipata Mke mchafu ambae ana tabia ya kurundika nguo wiki nzima hadi zianze kunuka uvundo ndio azifue aisee!atachezea makofi daily
Naona umetii agizo la BashiteKwa jinsi nilivyozea nikiwa bachelor nguo navaa Mara moja na nikivua hapo hapo nazifua japo nipo busy Mara nyingi lakini ni msafi 24 hours, nikila papuchi ghetto Demu akitoka hapo hapo nafua shuka!
Sasa sipati picha nikipata Mke mchafu ambae ana tabia ya kurundika nguo wiki nzima hadi zianze kunuka uvundo ndio azifue aisee!atachezea makofi daily
Nilishawahi kulishuhudia hiliKwajinsi tabia yako ilivyo ni vema ukapata mke mchafu kwani hapo mtakuwa sawa kuliko kupata mke msafi maaana anaweza kuwa msafi zaidi yako kisha ukajiona umchafu zaidi kwake kuliko unavyojidhania.
Eti nivae jeans zangu na vitenge vyangu siku moja na kufua. Dhubutu yako.
Navaa jeans navua naikunja nahifadhi.
Nguo za vitenge ndiyo naweza fua baada ya kuvaa siku kama 5 tofauti ( sio mfululizo).
Nitandike shuka safi, nisex na bebi eti nilitoe nikafue kwani ananuka?
Nisiwe mnafki sifanyi hivyo. Top tuu ndo navaa Mara moja na kufua na nguo za ndani.
Wewe mkuu fua kila siku maana unafanya kazi zinazokuchafua na una jasho Kali.
Ndiwooo
Kwanza hiyo kazi ya kufua kila siku anaiweza dobi peke yake,,,, usikute mtoa mada ni dobiEti nivae jeans zangu na vitenge vyangu siku moja na kufua. Dhubutu yako.
Navaa jeans navua naikunja nahifadhi.
Nguo za vitenge ndiyo naweza fua baada ya kuvaa siku kama 5 tofauti ( sio mfululizo).
Nitandike shuka safi, nisex na bebi eti nilitoe nikafue kwani ananuka?
Nisiwe mnafki sifanyi hivyo. Top tuu ndo navaa Mara moja na kufua na nguo za ndani.
Wewe mkuu fua kila siku maana unafanya kazi zinazokuchafua na una jasho Kali.
Subiri wasafi feki wa jf wajeπππππ.Eti nivae jeans zangu na vitenge vyangu siku moja na kufua. Dhubutu yako.
Navaa jeans navua naikunja nahifadhi.
Nguo za vitenge ndiyo naweza fua baada ya kuvaa siku kama 5 tofauti ( sio mfululizo).
Nitandike shuka safi, nisex na bebi eti nilitoe nikafue kwani ananuka?
Nisiwe mnafki sifanyi hivyo. Top tuu ndo navaa Mara moja na kufua na nguo za ndani.
Wewe mkuu fua kila siku maana unafanya kazi zinazokuchafua na una jasho Kali.
unataka mke au Bibi afya.Kwa jinsi nilivyozea nikiwa bachelor nguo navaa Mara moja na nikivua hapo hapo nazifua japo nipo busy Mara nyingi lakini ni msafi 24 hours, nikila papuchi ghetto Demu akitoka hapo hapo nafua shuka!
Sasa sipati picha nikipata Mke mchafu ambae ana tabia ya kurundika nguo wiki nzima hadi zianze kunuka uvundo ndio azifue aisee!atachezea makofi daily
Nguo ya kitenge ufue kila unapovaa mbona utaichukia ndani ya muda mfupi sana, watakuja wadada hapa watakuambia wanafua mashuka kila baada ya siku mbili. Mtu naoga nalala nikiwa msafi nilalie shuka siku mbili inahuEti nivae jeans zangu na vitenge vyangu siku moja na kufua. Dhubutu yako.
Navaa jeans navua naikunja nahifadhi.
Nguo za vitenge ndiyo naweza fua baada ya kuvaa siku kama 5 tofauti ( sio mfululizo).
Nitandike shuka safi, nisex na bebi eti nilitoe nikafue kwani ananuka?
Nisiwe mnafki sifanyi hivyo. Top tuu ndo navaa Mara moja na kufua na nguo za ndani.
Wewe mkuu fua kila siku maana unafanya kazi zinazokuchafua na una jasho Kali.
safi kwa kuonyesha uadilifu.Eti nivae jeans zangu na vitenge vyangu siku moja na kufua. Dhubutu yako.
Navaa jeans navua naikunja nahifadhi.
Nguo za vitenge ndiyo naweza fua baada ya kuvaa siku kama 5 tofauti ( sio mfululizo).
Nitandike shuka safi, nisex na bebi eti nilitoe nikafue kwani ananuka?
Nisiwe mnafki sifanyi hivyo. Top tuu ndo navaa Mara moja na kufua na nguo za ndani.
Wewe mkuu fua kila siku maana unafanya kazi zinazokuchafua na una jasho Kali.
Inawezekana kabisaKwanza hiyo kazi ya kufua kila siku anaiweza dobi peke yake,,,, usikute mtoa mada ni dobi
akikupiga mkombozi wenu nipo.Achezee makofi kisa nini?
Watakuja nidhibitishia kwamba Mimi ni mchafu peke yangu. Jf kwa unafki nawaelewa.Subiri wasafi feki wa jf waje.