fareed uziel
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 667
- 721
- Thread starter
- #41
kuna vitu vya ajabu ambavyo nishwafanyia madogo zangu waklia kipuuzi hata sitaki kuvisema,hilo la kuweka tambara ni dogo sana..Akilia mjaze matambara mdomoni
kuna vitu vya ajabu ambavyo nishwafanyia madogo zangu waklia kipuuzi hata sitaki kuvisema,hilo la kuweka tambara ni dogo sana..Akilia mjaze matambara mdomoni
kuna vitu vya ajabu ambavyo nishwafanyia madogo zangu waklia kipuuzi hata sitaki kuvisema,hilo la kuweka tambara ni dogo sana..
ni kuniambia pole sio kunipongezaWacha wee hongera
Mwanao akilia uck ndani utafanyaje? Unahitaji tiba aise la sivyo ni hatari tutajasikia majanga unaweza mfunikia kwenye pipa au ndoo
Juzi tu nimetoka kusoma story mahali fulani. Mume alisababisha mtoto akapata skull fracture, kisa mtoto alikuwa anapenda kulia sana afu sometimes mkewe unakuta na yeye amechoka. So anamuomba mumewe aamke na yeye akae na mtoto. Kumbe yule mwanaume hapendi mtoto anavyolia, akawa anamsqueeze kichwa mara kwa mara ndo mtoto kupata hiyo skull fracture na complications zingine hadi akafariki. Ni tatizo haswa
Jogoo hana urafiki na vifaranga hata siku moja yeye anadili na mtetea tu...that is the law of nature.
Ndio maana hata simba dume akiona vitoto vinamzibia riziki kwa mama yao anaviulia mbali, ili apate nafasi ya kujidai na mama yao
aisee itabidi ujikaze tu uzoee. Kulea mtoto Ni kazi eti na Ni vyema wazazi mshirikiane katika malezi. Akikua Mbona Shida zote mtasahauDuh aisee yaani kumbe sipo peke yangu...ndo maana hua na avoid kelele hizo,tatizo je mimi nkipata huyo mtoto sijui itakuaje?