Sipendi mtoto akilia

Sipendi mtoto akilia

Tupo pamoja mkuu namimi nina tatizo kama lako ukipata dawa ni pm
nimefarijika kusikia kua siko peke yangu mkuu,ujue kuna matatizo mengine unadhani ukajiona upo peke yako au ukiwaaambia watu watajua unakichaa
 
Mwanao akilia uck ndani utafanyaje? Unahitaji tiba aise la sivyo ni hatari tutajasikia majanga unaweza mfunikia kwenye pipa au ndoo
 
Sio mzazi huyu.. Hasara
hii dunia hii ina kila aina ya mambo,kwaiyo usinishangae na kuniona hasara wakati nimekuja hapa kupata hata mwanga wa hili tatizo langu...cool down sad bytch
 
Jaribu kutafuta wataalamu wa saikolojia wakusaidie, hilo ni tatizo kubwa na inawezekana kabisa walio wengi hawajui kiwango cha tatizo lako. Haya mambo huanzia katika malezi, jinsi wewe ulivyolelewa. Tafuta suluhu ya tatizo lako...
 
nimefarijika kusikia kua siko peke yangu mkuu,ujue kuna matatizo mengine unadhani ukajiona upo peke yako au ukiwaaambia watu watajua unakichaa
Wewe una kichaa ila kimeanzia kwa watoto. Mtu wa kawaida akisikia mtoto analia anaingiwa na huruma ya kutaka kujua chanzo. Wewe unapata hasira ya kumdhuru mtoto. Nakushauri umwone daktari wa afya ya akili akupe tiba ya kudumu kwani unapoelekea si pazuri utajeruhi au utauwa mtoto wako au wa mtu mwingine.
 
Mbona wewe ulilia wakat mdogo waache na wenzio wafaidi.
 
Pole sana ila hapo jaribu kuelewa na kukubaliana na hali halisi kuwa watoto kulia nikawaida sana na kwamba hio ndio namna yao ya kuwasiliana. Pole sana
 
Jaribu kutafuta wataalamu wa saikolojia wakusaidie, hilo ni tatizo kubwa na inawezekana kabisa walio wengi hawajui kiwango cha tatizo lako. Haya mambo huanzia katika malezi, jinsi wewe ulivyolelewa. Tafuta suluhu ya tatizo lako...
ntalifanyia kazi,ndo maana nikaja humu nisikilize maoni ya wadau nijue kama hil tatizo lipo?na ni mimi peke yangu au kuna mtu ambaye na yeyey analo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom