Sipendi mtoto akilia

Sipendi mtoto akilia

fareed uziel

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
667
Reaction score
721
Wadau hamjambo,

Nimekuwa na kijitabia flani hivi cha ajabu sana, hii tabia nilikua nayo toka udogo wangu nikaona kawaida sasa nimekua na bado naendelea kuiwa nayo na sijui chanzo chake.

Toka nilivokua mdogo nilikua nachkia sana mtoto akilia yaani nachukia yale makelele yake,makelele yote ntavumilia hata ziwe kelele za mtu mzima, makelele ya mabati au makelele ya wale wakubwa wetu walioko mjengoni dodoma yote ntavumilia lakini kelele za mtoto mfululizo zinakua zinanipa hasira sana hua natamani nimchinje hata yule mtoto.

Nakumbuka dogo langu alivokua analia mweyewe bila sababu nilikua namfinyaa kwa hasira au nampa makofi makali mpaka ananyamaza na mpaka sasahivi kama nikipanda daladala alafu mtoto akianza kulia hua lazima nishuke.

Nashindwa vumilia,nilishawahi kushuka katika basi la mkoani nikapanda jengine sababu ya mtoto kulia, mi najua ntiakua natatizo ila je hilo tatizo langu lipo na linajulikana? Na kama kuna mtu ambaye na yeye ana tatizo kama hilo?
 
Join Date : 27th May 2015
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
 
hahaaaaaaaaa sa ukiwa na wako na awe mllizi
si utafukuza mama na mtoto ka ndio hivyoo
 
hahaaaaaaaaa sa ukiwa na wako na awe mllizi
si utafukuza mama na mtoto ka ndio hivyoo
kucheza na mtoto naweza ila akianza kulia tu tena alie bila sababu au mfululizo hua kama vile ananitia hasira ghafla,nashindwa hata kuelezea jinsi navojiskia
 
Watoto wanakera wakilia ila mbona ni swala la kuvumilika.
Je MTU mzima akilia unafanyaje?
 
ulipigwa sana utotoni. am a mazaz wako aliteswa au kupigwa na am a mzee wako au mimba ilikataliwa.

ukweli unaweza ukawa nao we we makuz yako uliishi na mamio au uliishi na bibi?

ni tatizobla kisaikolojia.

kama iliteswa we utakuwa uliteswa sana. Kama ni wakati mamako akiwa mja mzito. Alikuwa katika mazingisha very disappointing.

Tiba.
Jijengee mapenzi na kila MTU hata wanyama wajenjee upendo. Unaupendo lkn umekuwa corrrupt
 
Bora hujizoeshe tu hata ukichukia stage ya kupasuka mtoto kulia ni jambo la kawaida. Na anapolia ujue kuna kitu anataka au hakiko sawa hyo ndo ongea yake.
 
ni kweli mzee wangu alinipa sana kichapo utotoni aisee.tena kwa makosa madogo tu
 
Bora hujizoeshe tu hata ukichukia stage ya kupasuka mtoto kulia ni jambo la kawaida. Na anapolia ujue kuna kitu anataka au hakiko sawa hyo ndo ongea yake.
samtym watoto wanalia kwa kujikera tu,au bila ya sababu...mi nimejaaliwa kua na madogo wengi na naelewa hivo
 
samtym watoto wanalia kwa kujikera tu,au bila ya sababu...mi nimejaaliwa kua na madogo wengi na naelewa hivo

Hamna mtoto asiye lia bila sababu. Akilia ujue ana jambo anataka kusikilizwa sema yeye atalia ili kukupa attention una mbebeleza watoto nao wako emotional. Ukiwa na mtoto asiye lia lazima ujiulize Mara nyingi.
 
Hivi wenye kujua nijuzeni 'Ligi kuu Tanzania bara(Tanganyika) inaanza lini' Uzalendo mbele....Kijana maindi yameisha porojo hadi kesho.
 
Sijui kama Nimelielewa tatizo lako ila nahisi linatokana na wewe kukosa upendo wa Mama ulipokuwa mdogo na kinachokusumbua ni hisia za kuchukia watoto wadogo ambao akilivyako inakufanya uhisi kuwa wanadeka au kudekezwa na hivyo unakuwa na kitu kama wivu hivi.
Samahani kama Nitakuwa Nimekukwaza ila jichunguze vizuri utaliona hilo na kama sivyo basi utakuwa na tatizo jingine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom