SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,244
- 4,258
Wadau wa lugha habari zenu?
Lipo hili neno wadau.Silipendi na napinga sana matumizi yake hapa JF.
Nimeona WanaJF wengi pale anaposifia kitu anasema: hatareeeee!
Je, huyu anataka kusema: hatariiii?au? Sasa hatareee ndo nini?
Mimi naona hiyo ni lugha ya mtaani tu inatafuta kuhalalishwa hapa.
Wanaopenda kutumia hatareee ndo haohao wa xaxa, ctaki nk.
Wachakachuaji wa lugha hawa!
Najua kabisa kwamba lugha ni kitu hai kinachokuzwa na watumiaji wenyewe
ila kama mamlaka za lugha hazijarasimisha matumizi haya mimi bado napata kichefuchefu!
Nini maoni yako kwenye hili?