Sipendi Matumizi ya Neno Hili Hapa JF.

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,255
2,000
Wadau wa lugha habari zenu?
Lipo hili neno wadau.Silipendi na napinga sana matumizi yake hapa JF.
Nimeona WanaJF wengi pale anaposifia kitu anasema: hatareeeee!
Je, huyu anataka kusema: hatariiii?au? Sasa hatareee ndo nini?
Mimi naona hiyo ni lugha ya mtaani tu inatafuta kuhalalishwa hapa.
Wanaopenda kutumia hatareee ndo haohao wa xaxa, ctaki nk.
Wachakachuaji wa lugha hawa!

Najua kabisa kwamba lugha ni kitu hai kinachokuzwa na watumiaji wenyewe
ila kama mamlaka za lugha hazijarasimisha matumizi haya mimi bado napata kichefuchefu!

Nini maoni yako kwenye hili?
 
Bisansaba

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
293
250

Hizo na mimi huwa nashindwa kuelewa kwa nini wanaandika hivyo, huwa sipendi kabisa, lakini pengine wameathiriwa na kiingereza, huwezijua! Nafikiri watu wa lugha wanaweza kuanzia utafiti wao hapa, mtu anaweza kutengeneza tasnifu katika hili.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom