Sipendi lafudhi ya wasambaa

Video iko wapi?
 
Mimi huwa sipendi za wajita na wamburu maana wamburu wanakuwa wanaongea kama wanatapika hile. Ila wamasai ,wajaruo,wasukuma, hata hao wasambaa hakiongea naona kama naangalia vichekesho vya futuhi huwa nacheka sana.
 
Hiyo ndiyo lafudhi sasa ya watu watafutaji, na siyo ya watu masikini kama nyinyi Wapare.
Muulize Nyerere wapare aliwaitaje enzi zake (the Chinese of Tanzania)
 
Wapare na wasambaa ni ndugu wa karibu, wanafanana hadi tabia ya kupenda biashara ya kushona viatu.
Ila wasambaa ni low version wapare ni hybrid na pia ujue wapare wanatokea Kenya taveta.
 
Reactions: Tsh
Kwakweli mi sijaona lafudhi nzuri kwa makabila yote hapa Tz, bora wawe wanaongea kikwao ila sio waongee kiswahili kwa hizo lafudhi zao za ajabu.
Hata wazaramo na wakwere wa Pwani lafudhi yao ya Kiswahili hauikubali??
 
Hata wazaramo na wakwere wa Pwani lafudhi yao ya Kiswahili hauikubali??
Sio nzuri, ujue hao wengi wapo mjini/wamekulia mjini ambako kuna mwingiliano mkubwa wa watu.

Miji karibu yote wana kiswahili cha kijanjajanja ambacho sio rahisi kujua mtu ni wa wapi kama hajaathiriwa na lugha mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…