Sipendi lafudhi ya wasambaa

Inakuchanganya kwa namna gani
Alafu wew humu kila avatar ikuchanganye wew tu
Mbona huokoti makopo🤣🤣🤣 usinitoe ufahamu
Nawasifu mnajua mapenzi hasa kukata kiuno wakati wa tendo pia ni wachapakazi wazuri.
 
Inakuchanganya kwa namna gani
Alafu wew humu kila avatar ikuchanganye wew tu
Mbona huokoti makopo🤣🤣🤣 usinitoe ufahamu
Fahamu ya kwamba hii avatar yako inanitoa akili mpaka nabakiwa na fuvu pekee then nakuwa mtu wa hovyo for a while.

Unanishauri nini niepukane na hili tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…