Auz mwenza na watoto wapo. Naishi nao vizuri tu kwani tunafahamiana na tumeshazoeana. Kinachonichekesha nijiangaliapo kwenye kioo ni usurious ninaoukuta adi nashtuka
Sijaona tatizo kwani humuumizi mtu mwingine ila unajiumiza sana wewe mwenyewe. Unahitaji utafute jinsi ya kutoa matatizo yako bila kupata mtu kukuoneshea huruma... Usiyahifadhi moyoni sana. Unaweza chukua karatasi ukaandika, ukajilizaa weee alafu ukachana hiyo karatasi.
Smile always ata kama situations around zinataka unune.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.