Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,689
- 26,568
Ni juu ya utangazwaji wa matokeo ya urais. Shein amekua muungwana sana lakini shinikizo kutoka 'kitengo' linaweza kuchafua kabisa hali ya hewa huko visiwani.
Ni rai yangu kwa the former prezidaa kuwa anachoki engeneer si kizuri. Sioni kama kitatupa any positive impact, but the consequences.
Ni rai yangu kwa the former prezidaa kuwa anachoki engeneer si kizuri. Sioni kama kitatupa any positive impact, but the consequences.