Sipendi kabisa mwanamke anayesuka

[emoji23][emoji23][emoji23] vumilia chifu ukisema ubadilishe utabadili wangapi ndgu yang vumilia kama kweli unampenda najua utambadilisha pole pole mana si unajua ndgu zetu inatakiwa tuishi nao kwa hekima kubwa na kumtanguliza mungu hope nimeeleweka chifu..
 
Mkuu wewe ni kama mimi.
Mwanamke akiwa simple..nywele fupi kama namba 1 au kama zipo nyingi basi azifunge kwa nyuma kikorea fulani hivi na ziwe safiii.

Aseeh hapo chochote anachukua kwangu
Uwwwiii..!

Ngoja nikanyoe nije fasta nichukue kapasso.
 
shame on u. hivi mtu utaanzaje kunambia ninyoe nywele zangu? nazitunza kwa garama kubwa sivai mawiving wala kuyasuka mwanaume aseme hataki nywele zangu? nimesikitika sana. pole yake bi dada
 
Kwanza kwanini umeoa kibosho?

Pili wewe ni mfuasi wa Hellen G white?

Jibu kwanza hayo.
 
Siku ananyoa hzo nywele afu jamaa anachepuka na aliesuka...wanaume hawana jema jmn,..nakuheshimu ila kuna vitu ni noo yanii,mwanamke anaenjoy na nywele yake we unataka akate ili iweje,umemkuta nazo,fanya ishu zngne
 
Siku ananyoa hzo nywele afu jamaa anachepuka na aliesuka...wanaume hawana jema jmn,..nakuheshimu ila kuna vitu ni noo yanii,mwanamke anaenjoy na nywele yake we unataka akate ili iweje,umemkuta nazo,fanya ishu zngne
Kuna mama ashawah niambie mumewe alianza kumwambia ukinyoa unapendeza Sana wife basi akanyoa mwenyewe anazitia black mafuta zinawaka end of the day anakuja gundua mumewe anatoka na mdada wa Saloon aliyokuwa Mara zote akienda na huyo Dada ananywele nzuri tu ndefu akamwambia mumewe kumbe ulkuwa unataka kuwa na sample mbili mwenye nywele na anaenyoa
 


Sema huna uwezo wakuhudumia nywele, kusuka na maweaving na sio kujifanya unapenda mwanamke anaye nyoa.
 
Duuuh,nywele zenyewe za kibongo tunavozikuza kwa mbinde hivii,piga picha nywele yako iko mgongoni tiari afu mtu anasema ukatee chaa am solee baba watoto... Hadi nizikuze tena ni leoo?
 
Wanawake wa kisabato wananivutia kweli....wasafi na nywele zao ni fupi....huwa nawapenda sana.
 
Mmmmh umaskini ni ugonjwa. Au uchumi mgumu kaka unakwepa 25000-100000 za kila after 2weeks
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…