Sipendezwi na jamii inavyomchukulia Mwanamke

Sipendezwi na jamii inavyomchukulia Mwanamke

Sasa mambo yenu ya PM unaleta huku public inahusu nn?? Na km ni hivyo si ungemalizana na huyo aliyekuonesha hizo picha huko huko PM.

Drama zenu pambaneni huko huko.
 
Hellow Africa

Huwa sijawai pendwa ata kidogo jamii inavyomchukulia mwanamke ni kama kiumbe anachostahili fedhea aibu uonevu kitu ambacho si sawa.

Mwanaume anamchukua video mwanamke kisha anaenda kuitupia mtandaoni mwanaume huyo anasifiwa na jamii jamaa alikuwa moto jamaa ana kazi nzuri huku mwanamke anafedheheshwa, wanawake hawana akili alikubalije akachukuliwa video

Mimi nimesoma chuo fulani kuna jamaa mmoja alikuwa anatongoza wanawake kisha anawekewa dawa za kulevya akiwa anakula anaweka simu yake vizuri na kisha kuchukua video ila ikija kuvuja muhathirika mkubwa hapa ni mwanamke

Wanaume na sisi tuna watoto wa kike je utajisikiaje siku mwanao wa kike akifanyiwa hivyo? Tubadilike na tulinde heshima ya mtu mfano hata hapa JF kuna picha zinatembea pm za mtu fulani.

Maana ya pm ni nin? Na kwanini utoe hayo mambo pm ukasambaza pm za wengine? Ndio maaana wanawake wa JF wanachukulia wanaume wa JF hatujitambui tuna utoto mwingi sana

Ukichat na dem pm kaa kimya yeye akisema asambaze zako wewe ndio utabebwa kichwa ila mwezako kashaumia
Wanaume wa jf au wavulana wa jf?😊😊😊😊
 
Wasichana wenyewe wanapenda rekodiwa, sisi ni nani tuumie?

Ila tusipokuwa makini ipo siku tutakutana na watoto wetu wanarekodiwa wakiliwa
 
Wasichana wenyewe wanapenda rekodiwa, sisi ni nani tuumie?

Ila tusipokuwa makini ipo siku tutakutana na watoto wetu wanarekodiwa wakiliwa
Si mnaona sawa badala ya kukemea na kuchukua hatua kali mna wapa sifa za kijinga
 
Siku nipoona dirty versions za music ya Amerika ndipo nilipojua heshima ya mwili wako ni wewe mwenyewe ndo mwenye maamuzi nayo
 
Tatizo wanawake wanajitengenezea hayo maisha wao wenyeweeee.

Wafike mahala watulie na wajitulize kiakil na kimwil na heshma yao itakuja

Ni hayo tu japo sina hakika kama utakuwa umenielewa ila kuandika haya si kwamba nimetoa kibali wafanyiwe mabaya.
 
Na wale wanaojirekodi wenyewe wakikata mauno na kujichezea sehemu za utupu kisha wanashare videos hao unasemaje mkuu ewe mwanaharakati wa kujitegemea wa haki za mademu?!
 
Back
Top Bottom