Sipati usingizi mpaka niwaze wanawake

Usingizi unapaa nanga mpaka niwawaze wanawake wazuri wazuri wenye mikia au maziwa kama yale ya kwenye video za dawa za macho.

Humu kumejaa watalamu, naomba mnipe ushauri ni kwanini?
Acha kukaa kwa shemeji Yako mkuu, ukiwa busy na kusaka shilingi hutopata mda wa kuwaza Upumbavu huo !! Na ukiendelea hivyo hivyo utakufa masikini
 
Usingizi unapaa nanga mpaka niwawaze wanawake wazuri wazuri wenye mikia au maziwa kama yale ya kwenye video za dawa za macho.

Humu kumejaa watalamu, naomba mnipe ushauri ni kwanini?
Acha kukaa kwa shemeji Yako mkuu, ukiwa busy na kusaka shilingi hutopata mda wa kuwaza Upumbavu huo !! Na ukiendelea hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom