Sipati picha speed hii Ingekuwa hapa bongo

Watu tusingelala maana 4g tu tunaona net iko vizuri
 
Reactions: MC7
Kabla hujaclick imeshafunguka, hapa natumia 4G lakini nikizungusha simu kidogo tuu hata Jf naweza shindwa ku post
[emoji2] [emoji2] [emoji2] 4g ya tigo nini?
 
mh sasa hiyo ni 4G au generation gani?
 
Tutafika tu! Believe!
 
huja piga mahesabu sawa muvie nyingi zina 1.2GB HIZO NI ZILE ZA HIGH QUALITY NA RESOLUTION

sasa hapo NASA wamekwambia ni 91GB per sec
kwa hiyo ni ndani ya sekunde ngapi
 
kwa hiyo ni ndani ya sekunde ngapi
hapo sidhan kama sekunde itaisha

dakika ina sec 60
kila sek unapakua 91GB
Dakika utakua umepakua muvi yenye ukubwa wa

5460GB

sawa na MEGABYTES(MB)
5460000

kitanzania MB 1000(1Gb) ni swa na sh elfu moja
je MB 5460000 ITAKUA SH. NGAPI?

1000X5460000=?

hizo zote ukung'ute kwa dakika.

ndukiiiii
 
kwa hyo hata sekunde mbili haziishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…