Sipati picha siku iyo.

Sipati picha siku iyo.

wa home

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2012
Posts
233
Reaction score
41
Hivi itakuaje siku chama cha upizani ikitinga ikulu, mfano, Dr Slaa ndo Rais wa Tz' sherehe zitakuaje mtaani! Nadhani walevi watalewa wiki3 bila kwenda jobb, kwa sisi wacha MUNGU 2tafunga wiki nzima kwa shukrani2 kuondoa gamba, je we utasherekeaje?
 
Nilivyo na stress nanenepa kwanza,kifuatacho wampe tu huo uraisi wataona
 
Nita do na demu wangu Mwanaisha K wiki nzima mfululizo...duh mi simo.
 
mi nitacopy na kupaste ooooooooooooops! hivi topic inasemaje vile..
 
Back
Top Bottom