Sipati picha angekatiza kama hivi mitaa ya Kariakoo

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781

bbc85f6b18eb92e26b10bc9d545c32e3
 
Tumuulizs mtetezi wa haya mambo ji mama King'asti
Ye anasema nchi huru kila mtu avae anavyotaka.
Jimama neneeee hali hata aibu.

Mi km huyu ananihusu namchukua kwenda nae kuwinda akitokea simba nampiga tege la makalio akatafunwe tu na simba.

Hawa ndio wanatuletea Tsunami na Elninyo!
 
Last edited by a moderator:
Usingizi wa mtu huo.. kuna mtu halali anamuwaza.
Kanda la futa..... hahahaha

Kama ambavyo wewe ukivaa kipedo na kubasi, ukazurura kariakoo na kuchota vumbi lote. Halafu mie sijali, napita na khamsini zangu. Ndivyo nilivyo mie, sijistress na mambo ya strangers. Anakotoka huko wamemuona kavunjia, why in hell should i freaking care?

Hivi kumsakizia aliwe na simba nayo ni jihad mpya?

Wanawake km wewe ni hatari sana ktk Jamii yetu.
Mnafanya Promo za Uchangudoa Bila faida .
Watu km Nyie mnapigana na Serikali zetu maskini kwa Kusaidia Kusambaza maradhi ya Ngono.

Huna wazee wewe usie na haya kutetea huu upuuzi?
Huyu angekua Mama king'asti ungeandika Upuuzi huu?

Au kwenu Ndio Nyumba nzima Mnavaa hivi sio?

Hebu tazama Ji sura la huyo changu!
I bet you look like her. The ugly you are the less confidence you became. Thats why Mna Flash hizo nyama uzembe Ili muonekane attractive lkn Ni MANYAMA yaliotepeta tu.

Khaaaa.
Nobody wants to see hayo Manyama yenu. Ficheni huo Uchafu.
 
Wamarekani weusi akili zao bana unaweza kukuta kuna mtu alitembea mita 500 akiwa hivyo akawa ameingia kwenye record za Guinness basi na huyo mbibi nae ukute hapo anataka kutembea hivyo 1km ili avunje record ya mwenzie
 
Hehehe ona unavyotoa povu sasa. Nilishakuambia, nitarudia tena. Mimi sijali wengine wasionihusu. Mama yangu najua mostly hawezi kuwa na mtazamo tofauti sana na wangu manake amenilea akiwa role model wangu. Huyo alievaa chupi ana role models wake and you cant have control over her. Relax, focus on what you can change. Put your energy in it na ufurahie maisha.

Kwani alikuambia kama anavaa hivyo ili umpende? Si una wake wewe, tena wanne? Tulia na uwatimizie. Hao wa barabarani Allah aliwaumba si kwa ujinga, na hawatoi uhai si kwa ujinga.

Focus bruh! Maisha mafupi haya. Unawaza sana machangu, au wewe mteja wao?
Wanawake km wewe ni hatari sana ktk Jamii yetu.
Mnafanya Promo za Uchangudoa Bila faida .
Watu km Nyie mnapigana na Serikali zetu maskini kwa Kusaidia Kusambaza maradhi ya Ngono.

Huna wazee wewe usie na haya kutetea huu upuuzi?
Huyu angekua Mama king'asti ungeandika Upuuzi huu?

Au kwenu Ndio Nyumba nzima Mnavaa hivi sio?

Hebu tazama Ji sura la huyo changu!
I bet you look like her. The ugly you are the less confidence you became. Thats why Mna Flash hizo nyama uzembe Ili muonekane attractive lkn Ni MANYAMA yaliotepeta tu.

Khaaaa.
Nobody wants to see hayo Manyama yenu. Ficheni huo Uchafu.
 
Hehehe ona unavyotoa povu sasa. Nilishakuambia, nitarudia tena. Mimi sijali wengine wasionihusu. Mama yangu najua mostly hawezi kuwa na mtazamo tofauti sana na wangu manake amenilea akiwa role model wangu. Huyo alievaa chupi ana role models wake and you cant have control over her. Relax, focus on what you can change. Put your energy in it na ufurahie maisha.

Kwani alikuambia kama anavaa hivyo ili umpende? Si una wake wewe, tena wanne? Tulia na uwatimizie. Hao wa barabarani Allah aliwaumba si kwa ujinga, na hawatoi uhai si kwa ujinga.

Focus bruh! Maisha mafupi haya. Unawaza sana machangu, au wewe mteja wao?

Mimi sio Selfish km wewe.
Najali jamii yangu na Mporomoko mzima wa Jamii yangu ya Kiafrika Unaletwa na kuongezeka kutokana na watu km wewe.
Mwanamke Pashkuna Anavaa Chupi brbrni Halafu we unaniambia Nisiseme kitu Nimuache km alivyo!
Mimi kutengemea kwa maadili yangu hakumaanishi Nikiona washenzi km hawa Niwaache tu watuletee na kutusambazia UKIMWI kwa vijana wetu wasio na maadili km wewe!

Nyie tunawaita (Mentally slave).
Kukaa Uchi Ndio mnaona Kumkomboa Mwanamke.
Na kumfunika mwanamke Mwili wake Mnaona ni Kumdhalilisha.

Yaani Mneharibiwa na Mila Za Wazungu kiasi kwamba Kawaachia Na Picha yake Muipigie goti na kuiomba Msaada.

Amkeni Watz Wenzangu! Mtakuwa watumwa mpaka lini?

Yaani we Kuvaa chupi Hadharani Unaona na Wewe Ni Good Role model?

Ama kweli Mzungu mwanaharamu
 
Hehehe. Acha uzinzi wewe. Kila ukioncha unatamani tuu. Huna maadili. Mie nilivyokuzwa hata unipe gari hapo nitakuuliza why unanipa and why me? Kwa hiyo mafataki hayajawahi kunisumbua manake sili wala kutamani cha mtu.

I rest my case. Manake naona im wrestling with a pig, you are bringing down to your level and you will beat me with experience. I dont live to impress everyone.

Kama ni msanii wa muziki mwambieni aje BONGO kwa ziara ya kikazi, lazima atakaribishwa magogoni kwa chakula cha usiku...
 
Hehehe. Acha uzinzi wewe. Kila ukioncha unatamani tuu. Huna maadili. Mie nilivyokuzwa hata unipe gari hapo nitakuuliza why unanipa and why me? Kwa hiyo mafataki hayajawahi kunisumbua manake sili wala kutamani cha mtu.

I rest my case. Manake naona im wrestling with a pig, you are bringing down to your level and you will beat me with experience. I dont live to impress everyone.

Changu utamuweza kwa mipasho!?
We upewe gari uulize why me!
Teh teh teh teh!
Km mikojo haikukutoka mfululizo!
 
Usingizi wa mtu huo.. kuna mtu halali anamuwaza.

Kama ambavyo wewe ukivaa kipedo na kubasi, ukazurura kariakoo na kuchota vumbi lote. Halafu mie sijali, napita na khamsini zangu. Ndivyo nilivyo mie, sijistress na mambo ya strangers. Anakotoka huko wamemuona kavunjia, why in hell should i freaking care?

Hivi kumsakizia aliwe na simba nayo ni jihad mpya?

Shikamoo King'asti
 
Last edited by a moderator:
Shidah matoni kila mtu chizi ndio maana hawastuki.Wewe ushakuta chizi anamcheka chizi.
 
Back
Top Bottom