Fanya utafiti Azam wanaipata hiyo channel RT kutokea wapi, kama wanaipata thr DSTV, jibu lipo maana DSTV wameifungia hiyo channel na hiyo ndio inapelekea kutokuwepo Azam tv
Imefungiwa Kwa muda...
Dah Putin kayatindinganya!Imeondolewa tokea jumatatu ya wiki hii,hiyo channel utaipata ukiwa ndani ya Russia tu
Mabeberu wameshafanya yao wameipiga pini
Sasa hivo habari wanazolalamikia wa magharibi kumbe ni documentary ya Wanazi walivyoua watu USSRNimekua nikifiatilia channel hii katika kipindi hiki cha mzozo wa Russia-Ukraine ili kuballance matukio.
Sasa leo najaribu kuangalia haipo hewani na kwenye screen ya tv haileti ujumbe wowote either poor signal au vipi.
Je kwa sisi wapenzi wa Russia Today tv ndio imekula kwetu? Je inaweza kua sababu ni ile mabeberu wanayoisema kwamba RT ina spraed fake news ndio maana Azam wakaipiga chini?
Kwakweli sijapendezwa na hili.
View attachment 2137366
Teh teh teh hii ndio nguvu ya Marekani, haya sasa Russia nae ajibu mapigo na sisi tusiweze kuziona hizo CNN,BBC na DW.
🤣Imeondolewa tokea jumatatu ya wiki hii,hiyo channel utaipata ukiwa ndani ya Russia tu
Mrusi na yeye aweke satellite zake za kurusha tv bana. Anashindwa nini?wanahubiri uhuru wa vyombo na demokrasia alaf wansazuia watu wasipate taarifa za upande wa pili
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
naona mnalishana matango pori na kuaminishana ujinga.Fanya utafiti Azam wanaipata hiyo channel RT kutokea wapi, kama wanaipata thr DSTV, jibu lipo maana DSTV wameifungia hiyo channel na hiyo ndio inapelekea kutokuwepo Azam tv
We mwenzetu upo mbali sana kuna mambo huyajui nahisi unadhani bado Nyerere ndio Rais maana sio kwa hii sintofahamu yako,😃😃😃😃Ni upuuzi kumchagulia mtu chakuangalia na Kalipia
Wanaitoa yann kama mtu hataki hayo ma Cnn yao kwann walazimishe
Ulitaka wasemaje mkuuIla tuseme tu ukweli, RT nimejaribu kuwafuatilia Youtube, wanachopost ni propaganda tupu, yaani hakuna habari kabisa. Wao wamevamia nchi ya watu halafu wanasema si uvamizi, ni ‘Operesheni ya kijeshi’, ndio kitu gani hicho?
Kwani ukivamia nchi nyingine kijeshi tunaitaje?Ulitaka wasemaje mkuu
Inategemea na mtazamo wa upande unaolipoti hilo suala:Kwani ukivamia nchi nyingine kijeshi tunaitaje?