Sipandi ndege inayoendeshwa na Mweusi-NJONJO.

Huyu bwana yeye alijiona si mwafrica thus why alikuwa akidai hawezi panda ndege amabayo rubani ni mwafrica
 
Smatta i know a lot about Kenya and Uganda.I have met many people from that region.Kila mtu anajua Wakikuyu walivyo tribal.Hiyo ni fact huwezi kuikataa.
atilele!
 
Lakini, mbali ya kuwa kichocheo kikubwa sana cha uvunjifu wa iliyokuwa Jumuia ya Afrika Mashariki ya mwanzo, kali zaidi inaaminika kuwa huyu ndugu alipata kutoa kauli nyingi sana tata na za dharau kama ifuatavyo:[/B][/COLOR]

"Naona aibu sana kuwa Mkikuyu"

"Siwezi kabisa kushikana mkono na kusalimiana na mtu wa kabila la Luo"

"Nahisi kukosa amani na usalama nikipanda ndege inayoendeshwa na Mwafrika"

Sasa huu sijui ni ulimbikeni au ndo mambo ya akina Nge**leja!

CHANZO:http://en.wikipedia.org/wiki/Charles_Njonjo

i think huyu jamaa alikuwa na ile kasumba iwatafunayo wakenya wengi kujihisi wao ni wazungu weusi ilhali ni watumwa wa fikra

Talking about mtu mweusi kuendesha ndege, mimi nilirudi nyumbani kwa sherehe za Krismasi, nilirudi huku kwenye nchi za baridi mwanzo wa mwaka, ndio theluji inaanza kupamba moto, kwa kutumia ndege ya Kenya Airways. Rubani na wafanyakazi wote ndani ya ndege ni waKenya weusi. Sasa, kufika Amsterdam, watu wote (wazungu kibao) walikuwa roho mkononi kuhofia jinsi ndege itakavyotua uwanjani.

Kusema kweli, rubani yule alikuwa "professional" sana, akiwataka watu wasitie shaka na akatua ndege salama salmini. Abiria wote walipiga makofi na kushangilia sana, ingekuwa inaruhusiwa kusimama nadhani angepata "standing ovation"...nilisisimka mwili kwa kweli

Sasa huyu mjinga mwingine anadharau watu wa aina/kabila yake mwenyewe? Kweli utumwa wa fikra

Huyu jaama ni wale weusi wenye kasumba ya kutukuza uzungu kuliko asili yao.

I am graceful to the Almighty to have lived long enough to see some of the STUPIDIEST AFRICANS, Charles Njonjo is one.
Tatizo, hawezi kuhamia Uingereza maana bado ana ngozi nyeusi na anatambua fika kuwa atabaguliwa kama najavyojibagua!!

he was right kwa miaka hiyo south africa ulitarajia aseme nini?hata yeye kupata nafasi ya kwend kusoma huko lazma aponde weusi ndo akubalike!

Huyu bwana yeye alijiona si mwafrica thus why alikuwa akidai hawezi panda ndege amabayo rubani ni mwafrica
A typical case of a HOUSE NIGGER.
 
A typical case of a HOUSE NIGGER.

Peasant, that ish is hearsay, it cant be said for a fact that Sir Charles Njonjo (see what i just did there) said those things, Njonjo and Odinga ( a Luo) are great buddies, Njonjo goes to Kosewe's (a mostly Luo restaurant coz of the cuisine-fish) on a frequent basis. Stop believing everything you read.

Its a fact that the dude is proud, that shouldnt bother anybody, you should live your life anyway you deem best, as long as you are not hurting or bothering anybody else, You shld do whatever you do that makes you happy in this short life. if the nigger (or House nigger as you prefer to call him) is rich and wants to wear a suit with his initials, then he should go ahead and do his coon business, If he wants his suit dry cleaned in London, then let it be. Just let the nigger be, atleast he is happy, unlike most (note: operational word) of us. If I had his money most probably i'd do much dumber stuff and I know am not alone, heck we all have fantasies and mostly our pockets are the barriers to fulfilling them, some fantasies are realistic and intelligent while others are just straight dumb (like his) but atleast they make us happy. Stop hating the playa, hate the game.
 
Charles Njonjo ni Mmoja kati ya waliopata kuwa wanasiasa mashuhuri wa Kenya miaka ya 1960-1980, ambaye pia alipata kuwa mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Kenya, akiwa na digrii ya sheria aliyoipata Afrika Kusini.

Bwana huyu pia alipata kuwa Mbunge na Waziri wa Sheria na katiba katika serikali ya Kenya, na hadi sasa yuko juu sana kwenye list ya Matajiri wanaoongoza Kenya.

Miaka ya 1983 alilazimishwa kujiuzulu akidaiwa kutaka kuipindua serikali halali ya BABA MOI.

Lakini, mbali ya kuwa kichocheo kikubwa sana cha uvunjifu wa iliyokuwa Jumuia ya Afrika Mashariki ya mwanzo, kali zaidi inaaminika kuwa huyu ndugu alipata kutoa kauli nyingi sana tata na za dharau kama ifuatavyo:

"Naona aibu sana kuwa Mkikuyu"

"Siwezi kabisa kushikana mkono na kusalimiana na mtu wa kabila la Luo"

"Nahisi kukosa amani na usalama nikipanda ndege inayoendeshwa na Mwafrika"

Sasa huu sijui ni ulimbikeni au ndo mambo ya akina Nge**leja!

CHANZO:http://en.wikipedia.org/wiki/Charles_Njonjo
Huyu mzee arrogance na dharau zake zilimtoka puani pale alipokuwa anaenda uingereza nadhani 74 alipanda ndege ya EAA na ndege hiyo ilikuwa inaendeshwa na rubani fulani wakiganda ambaye alikuwa na jina la kizungu na wakati ndege ilipokuwa angani rubani yule alikwenda kusalimia abiria wake. Yule mzee alishushuka na alitamani ardhi ipasuke kwani abiria wote aliokuwa karibu naye walibaki wakimuangalia kwa kejeli. Inasemekana miaka ya mwisho ya mzee kenyatta huyu bwana pamoja na mzee mmoja [mkikuyu] aliyekuwa waziri katika ofisi ya rais ndiyo leterally walikuwa wanaendesha nchi. Wazungu walifurahishwa sana na ukibaraka wake kwani walimchgua kwenye board nyingi za kampuni zao zilikuwa kenya. Kuna kipindi alikuja Arusha kwenye mkutano [siku za mwisho za EAC] aliwahi kupewa chenji ya noti ya kitanzania alivyoishika kwa dharau huwezi kuamini.
 
Peasant, that ish is hearsay, it cant be said for a fact that Sir Charles Njonjo (see what i just did there) said those things, Njonjo and Odinga ( a Luo) are great buddies, Njonjo goes to Kosewe's (a mostly Luo restaurant coz of the cuisine-fish) on a frequent basis. Stop believing everything you read.

Its a fact that the dude is proud, that shouldnt bother anybody, you should live your life anyway you deem best, as long as you are not hurting or bothering anybody else, You shld do whatever you do that makes you happy in this short life. if the nigger (or House nigger as you prefer to call him) is rich and wants to wear a suit with his initials, then he should go ahead and do his coon business, If he wants his suit dry cleaned in London, then let it be. Just let the nigger be, atleast he is happy, unlike most (note: operational word) of us. If I had his money most probably i'd do much dumber stuff and I know am not alone, heck we all have fantasies and mostly our pockets are the barriers to fulfilling them, some fantasies are realistic and intelligent while others are just straight dumb (like his) but atleast they make us happy. Stop hating the playa, hate the game.
Hivi wewe smatta una umri gani????? ninahisi hizo enzi wewe ulikuwa aidha hujazaliwa au bado mdogo sana. Sisi tulikuwa tunaishi huko kwenu adha na kejeli tulizokuwa tunazipata enzi za mwisho wa EAC imebaki kidonda na ndiyo maana hatuiamini kenya hata kidogo. ULIZA MTU YEYOTE MWENYE UMRI WA MIAKA 60 [ambaye kipindi hicho alikuwa bitoz]
KAMA MZEE NJONO ALIWAHI KWENDA KWENYE MIKAHAWA HIYO. Yeye alikuwa mzee wa muthaiga akicheza golf huku na vile viatu vyeusi na vyeupe akicheza na walami na alikuwa na marafiki wachache sana waafrika na mmoja kati ya marafiki zake alikuwa Rais Banda wa malawi.
ULIZA BABA YAKO AKWAMBIE UKWELI hakuwa na marafiki wa kiluo. Kwani waliomuua Tom Mboya ni nani????????
 
Nimekupata mkuu
 
Mkuu thanks kwa info.

Story za Njonjo ambayo tulikuwa tunapewa utotoni ni tatu;

Moja ni kuwa Njonjo alichangia sana kuvunjika kwa Jumuia ya Afrika Mashariki,

Mbili ni kuwa alikuwa akivaa suti zinaonekana kama vile zina mistari, ila mistari hiyo kwa karibu ni herufi CN (initials za jina lake),

Tatu ni hiyo ya kukataa kupanda ndege inayoendeshwa na Muafrika, na ikatokea hiyo ya Muafrika mwenye jina la kizungu, akapanda akidhani Rubani ni mzungu.

Yaelekea huyu Mzee Njonjo alitamani sana kuwa mzungu mweupe. What a disgrace!

Basi kama vp angefanya vituko kama vya kama Michael Jackson, yaani angeoa mzungu na pia kuchukua mbegu toka kwa wanaume wa kizungu ili mkewe huyo awekewe mbegu hizo.
Watoto watakaozaliwa watakuwa ni wazungu 100%. Na yeye atajiita ni "baba" (sic!) kwani donors wanaweza kuwa anonymous, ingawa kwa issue ya Wacko donors walijitokeza baada ya kifo chake.

Labda huyu Mzee hakufanya hivyo kwa kuwa miaka hiyo utaalam huo ulikuwa bado...
 
Urafiki wa Njonjo na Raila umeanza miaka ya karibuni kwani Njonjo na Kibaki hawapatani kutokana na Njonjo kumpendelea Moi akimuacha mkikuyu mwenzake wakati wa kifo cha Kenyata.Huyu bwana ameoa akiwa na miaka 50 yeye anasema ameoa katika umri huo baada ya kuridhika kuwa sasa maisha yake yana uhakika wa kuwa na familia,Wakenya huo mapema sana ni kama wapemba,Njonjo kaoa mzungu na kama sikosei ana watoto watatu mmoja ameolewa mwaka jana katika hiyo ndoa ni watu wazito tu waliohudhuria kwanza siku hiyo ya harusi kanisa lilindwa na polisi na hakuna mlalahoi aliyeruhusiwa kufika hata kwenye geti la kanisa hilo la Anglican hapo Nairobi.Huyu mzee na familia yake hupenda sana kujienjoy huko mashariki ya mbali ambako huenda kupiga mbizi maji marefu,mazoezi na lishe ya mpangilio imemfanya aishi miaka mingi karibu marafiki zake wengi wa umri wake hasa wazungu wameshatangulia mbele ya haki,huyo ndio Sir Charles Mugune Njonjo bado anatumia saa ya mnyororo inayotumbukizwa kwenye koti na bado huvaa suti za pinstrips yaani vimisitari vidovidogo havaia iliyo plain
 
Aibu tupu hii. inasemekana kuwa bwana huyu alipokuwa katika kilele cha nguvu zake ndiye aliyewasaidia matajiri wenzake kule central prov. kunyakua mashamba ya wakulima wadogo kisha kuwatafutia mengine rift valley ambapo hawajawahi sikizana na wenyeji wa huko. alifanya madhambi makubwa huyu sir
 
Kosa la kifundi hili mzee, (error) usikomae sana!

Huyu jaama ni wale weusi wenye kasumba ya kutukuza uzungu kuliko asili yao. Wapo wengi sana kama hawa viongozi wetu ambao kila kukicha wapo Marekani na Ulaya. Anakubali kwenda kutalii Jamaica kuliko Serengeti.

11_09_hmaerh.jpg

President Jakaya Kikwete and his wife, Salma Kikwete and Minister for Tourism in Jamaica, Mr Edmund Bartlett (right) and Chairman of the Mystic mountains conservation, Mr Horace Clarke, touring the hills facing the tourist attractions in St. Ann region, in Jamaica.
Ngoshwe, hapa umepotoka, katika rais anayetmbelea mbuga za wanyama na vivutio Tanzania ni JK. Hizi huwa hazitangazwi maana anakuwa yupo mapumzikoni na hiyo inakuwa maisha binafsi ya JK. Mimi binafsi nimeshakutana naye zaidi ya mara tatu katika mbuga za wanyama. The guy is doing it man......
 
You RE VERY RIGHT BRODA!
 
Charles Njonjo ni Mmoja kati ya waliopata kuwa wanasiasa mashuhuri wa Kenya miaka ya 1960-1980, ambaye pia alipata kuwa mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Kenya, akiwa na digrii ya sheria aliyoipata Afrika Kusini.

Bwana huyu pia alipata kuwa Mbunge na Waziri wa Sheria na katiba katika serikali ya Kenya, na hadi sasa yuko juu sana kwenye list ya Matajiri wanaoongoza Kenya.

Miaka ya 1983 alilazimishwa kujiuzulu akidaiwa kutaka kuipindua serikali halali ya BABA MOI.

Lakini, mbali ya kuwa kichocheo kikubwa sana cha uvunjifu wa iliyokuwa Jumuia ya Afrika Mashariki ya mwanzo, kali zaidi inaaminika kuwa huyu ndugu alipata kutoa kauli nyingi sana tata na za dharau kama ifuatavyo:

"Naona aibu sana kuwa Mkikuyu"

"Siwezi kabisa kushikana mkono na kusalimiana na mtu wa kabila la Luo"

"Nahisi kukosa amani na usalama nikipanda ndege inayoendeshwa na Mwafrika"

Sasa huu sijui ni ulimbikeni au ndo mambo ya akina Nge**leja!

CHANZO:[ame]http://en.wikipedia.org/wiki/Charles_Njonjo[/ame]

Ndiyo maana kuna mtu humu JF ana signature inayosema miafrika ndivyo tulivyo.
 
Hivi wewe smatta una umri gani????? ninahisi hizo enzi wewe ulikuwa aidha hujazaliwa au bado mdogo sana. Sisi tulikuwa tunaishi huko kwenu adha na kejeli tulizokuwa tunazipata enzi za mwisho wa EAC imebaki kidonda na ndiyo maana hatuiamini kenya hata kidogo. ULIZA MTU YEYOTE MWENYE UMRI WA MIAKA 60 [ambaye kipindi hicho alikuwa bitoz]
KAMA MZEE NJONO ALIWAHI KWENDA KWENYE MIKAHAWA HIYO. Yeye alikuwa mzee wa muthaiga akicheza golf huku na vile viatu vyeusi na vyeupe akicheza na walami na alikuwa na marafiki wachache sana waafrika na mmoja kati ya marafiki zake alikuwa Rais Banda wa malawi.
ULIZA BABA YAKO AKWAMBIE UKWELI hakuwa na marafiki wa kiluo. Kwani waliomuua Tom Mboya ni nani????????

Nimekupata mkuu

At least you reached a consensus
 
Nasikia huko nyuma alikua akijisikia kwenda kupata lunch Geneva Uswis basi anapanda ndege mara moja!
 
Back
Top Bottom