Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 851
- 1,887
Habari za Mchana.
Mimi ni kijana mdogo ila nina hoja chache sana za kujiuliza maana nina imani kwa elimi yangu ya shule niliyoipata inanipa wigo mpana wa kutaka kupata upana wa hoja hizi.
1.Muungano wa Tanzania unampa favour tu mtu aliyetoka visiwani na sio mtu wa bara mfano kwenye mambo ya ajira wao wanzanzibar wanapata ajira Tanzania ila sisi hata mguu wa kuonekana unafanya kazi visiwani haitakiwi.
2.Wenzetu wako Dependent kwetu kwa kila kitu kuanzia Budget,chakula ,umeme lakini sisi hakuna tunacchotegemea kutoka kwao.
3.Social interaction kati ya watu wa bara na visiwani ni tofauto sana maan awatu wa visiwani ni wabaguzi sana wao wana tabia ya kujiona wako bora. Zaidi ya wengine hii kiuhalisia naona kama imepita na wakati...
4.Viongozi wa visiwani ni lazima washike nyadhifa mbalimbali katika uongozi wa bara ila ni ngumu kwa mtu wa bara kupata nafasi ya uongozi Tanzania
CONCLUSION.:SIJAONA UMUHIMU WA KUWA NA HUU MUUNGANO KATO YA TANGANYIKA NA ZANZIBAR