Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,372
Ni ujinga na unafiki uliopitiliza kumlaumu RC huyu anaelallamikiwa na wakati huo huo ukawa mtetezi wa yule anaemlinda.
Tatizo la msingi si RC huyu, bali ni yule aliemuweka hapo na kujifanya kipofu na kiziwa wa matendo yake.
Mimi binafsi sion tofauti ya hawa watu wawili na ndio maana wanaelewanma kwani waana hulka zinazofanana.Wote wawili,baba na mwanae ni tatizo kubwa.
Nina hakika hata RC huyu nae angekuwa anagawa vyeo,wale wanaolaumu kinafiki wangemsifia kama wanavyomtukuza baba yake na hata kukaa kimya kwa matendo yako.
Tuache unafiki!