Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 997
- 2,320
Kuna kila dalili hiyo press haitafanyika vinginevyo afanye kwa mbinu za Gwajima za kujifanya anaongea na waandishi kumbe ni yeye mwenyewe..
Hata Nape alivyotaka kuongea baada ya kufanyiwa uhuni kipindi kile ALINYOOSHEWA BASTOLA!
Hivi ni ukumbi gani utakubali KUHOST inshu ya pole pole leo?
Labda afanyie home kwake...
Trust me hiyo press labda ifanyike angani
#########
Nahisi hata kama ni online mtandao unaweza kuzimika pia..
😅😅😅