SIONI kama CCM ina KATIBA, naona KATIBA ni MWENYEKITI

ha ha ha ha Zitto kwa mujibu wa katiba tuliyonayo hana sifa ya kugombea urais muda bado mkubwa, mwanamke hawezi kubeba mimba mpaka avunje ungo, mkuu haufai kwenye siasa haujui kupima mambo usingeleta hoja ya Zitto kugombea urais na ndio maana CDM hawajaangaika nae Zitto hana sifz kwa mujibu wa katiba.Ha! Ha! Ha! Ha!
Zito alitakaga kugombea uwenyekiti wewe AMA Hilo unajifanya hulijui babamkwe akamchinjia baharini
 
Ha! ha! ha! ha! kwani CDM ilishateua mgombea Urais naona umejisahau kwamba umeshazeeka na bado unakula kwa baba yako na mama yako wa kambo jitoe home mkuu

Umeshasahau alivyotaka kugombea uwenyekiti mlimfanya nini au Hilo mshasahau
 
le mutuz huku leo umepotea njia kina Ritz na ukongwe wao humu jamvini huwa wanakimbia yaelekea umeamua kujitoa muhanga ngoja wenye jf wamalize kupata supu watakuacha uchi.
 
- Kabla hujafundisha wengine Demokrasia anza na kwako, mruhusuni Zitto kugombea Urais kwanza ndio tutaamini mko serious na Demokrasia, otherwise ya CCM hayawahusu jalini ya kwenu huko ndani mnakouziana malori mabovu ya Mwenyekiti wenu! ha! ha! ha!

- Unasema kundi la EL hawakutaka JK aendelee kwani kundi la Mbowe lini limekubali Zitto agombee Urais? Yaani maneno maneno ya kizandiki, huna hoja nani hapa anataka kujua mambo ya baba yako aligombea au hakugombea, I mean what is this mbona nonsense at best!!

Wacheni kupiga piga mayowe people wacheni wananchi waone wenyewe!

LE Mutuz!!

Duuh!! Kweli nimeamini ukiwa mwanachama wa CCM una kuwa za akili za maiti.

Naona ukila hii burger akili zako zinaweza kurudi na hutoamini kama ndio wewe uliyeandika huu upuuzi
 
Attachments

  • Macd.jpg
    Macd.jpg
    42.4 KB · Views: 55
- ha! ha! ha! ipi afadhali kuiba mke wa mtu mwenye umri tofauti na wako kwa miaka 40 au kuishi home kwa wazazi wako? ha! ha! ha! ha! Rais wako ana umri wa miaka 70 mke wa kuiba miaka 30, by 2015 atakuwa na 74 sasa atakuwa Rais wa nini labda chama cha kuiba wake za watu! ha! ha!, unajua I looove this!!

Le Mutuz!
ha! ha! ha! ha! baba yako kashindwa ubunge na Lusinde huyaoni hayo ha! ha! ha! wewe mwenyewe EA ulishindwa vibaya mama yako wa Kambo ndio usiseme ha! Ha! ha! ha! kwani baba yako na mama yako umri wanalingana ?
 
Mwanangu William Malecela sikujua kuwa umeishiwa hivyo. CCM ni chama tawala hivyo watanzania wana haki na wajibu wa kuiongelea. Kama Mungu mwenyewe anaongelewa itakuwa CCM? Mbona umedandia CDM imeingiaje mwanangu kama siyo kuishiwa? Nasikia ulisoma Marekani. Mbona huonyeshi cheche hata chembe za usomi zaidi ya kutumia jina la baba yako kuganga njaa kisiasa?

Hebu onyesha makeke yako ya kisomi badala ya kuandika kama mhuniii wa Manzese au Mwenge kwa wapiga debe. Hebu pinga kuwa Mkiti hakumkataa Sitta na kuweka mtu wao wa kulinda ufisadi wao yaani Anna Makinda spika wa kusimikwa na mafisadi? Hebu kanusha uvumi kuwa wana CCM wengi hasa wa mtandao wa EL hawakutaka Kikwete aendelee kuwa mkiti lakini bahati mbaya wazimwa kimizengwe.

Hebu pinga kuwa CCM si chama cha mizengwe hasa ukirejea alivyozuiwa baba yako mwenyewe kugombea urais mara nyingi tu. Hebu rejea alivyowekewa zengwe akishindwa na mhuniii bingwa wa matusi Lusinde aka ******** kwa kisukuma. Kwa leo ni hayo tu mwanangu.

Omalaga gete!
 
- Kabla hujafundisha wengine Demokrasia anza na kwako, mruhusuni Zitto kugombea Urais kwanza ndio tutaamini mko serious na Demokrasia, otherwise ya CCM hayawahusu jalini ya kwenu huko ndani mnakouziana malori mabovu ya Mwenyekiti wenu! ha! ha! ha!

- Unasema kundi la EL hawakutaka JK aendelee kwani kundi la Mbowe lini limekubali Zitto agombee Urais? Yaani maneno maneno ya kizandiki, huna hoja nani hapa anataka kujua mambo ya baba yako aligombea au hakugombea, I mean what is this mbona nonsense at best!!

Wacheni kupiga piga mayowe people wacheni wananchi waone wenyewe!

LE Mutuz!!

Kweli wewe Kilalaza! Nani amekwambia CDM wameanza kuchagua mgombea uraisi 2015??? Ndugu muda huo haujafika, ukifika kila mwanachama mwenye sifa atakuwa anauhuru wa kugombea na atachaguliwa mmoja. CDM haina mitandao kama CCM. Mkuu naona CDM inakunyima usingizi sana, na bado hiyo ni awamu ya kwanza ya M4C........Nawapa ushauri wa bure kwa CCM wajitahidi kila wawezavyo kukunyamazisha maana unawaaibisha sana, kila unachoandika umu ni PUMBA TU
 
- ha! ha! ha! ha! kwanza mruhusuni Zitto agombee urais, and then mje mtufundishe Demokrasia,! ha! ha1 ha1

Le Biig Shoow!!
Nashukuru sana kwani viongozi wengi wanashinda humu jamvini watagundua namna watetezi wa ccm wanavyojenga hoja kwa style ya kitoto namna hii.
Hakika unashiriki vema kukiua chama chenu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mbona hueleweki unaposema CCM haina katiba halafu unasema pia Mwenyekiti ndiyo katiba. Kama mwenyekiti wao ndiyo katiba basi hiyo ndiyo katiba yao waliyojiwekea na kukubaliana kama chama.

Kama hoja yako ni kwamba 'katiba' ya CCM haifai au ina mapungufu hilo ni jingine na linahitaji maelezo mengine.

Unaposema Mwenyekiti wa CCM taifa ni kila kitu, unakuwa kama unaiua mada nzima kwa sababu unakua umeuondoa ukweli ndani yake na kuweka uwongo tupu.

Ni kweli mwenyekiti wa CCM ana madaraka makubwa ndani ya chama lakini yeye siyo kila kitu ndani ya chama kama unavyopenda kuiaminisha jamii. Kuna mambo mengi tu ambayo ni mifano halisi inayoonyesha kuwa Mwenyekiti wa CCM siyo kila kitu.
 
- Mkuu toa boriti kwenye jicho lako kwanza, siku Zitto akiruhusiwa kwua mgombea urais wa Chadema ndio uje na haya, otheriwse hayakuhusu ya CCM tuachie wenyewe!! CCM ina wenyewe hukusikia Komba anaimba jana!!

Le Mutuz!!
Wapi kasema yeye ni Chadema? Hizo ni akili za woga kuwa kila anayekosoa CCM ni CDM.Kwani ndani yenu hamkosoani?
 
Nashukuru sana kwani viongozi wengi wanashinda humu jamvini watagundua namna watetezi wa ccm wanavyojenga hoja kwa style ya kitoto namna hii.
Hakika unashiriki vema kukiua chama chenu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Daudi,moja ya mambo ambayo CCM wametumia hekima ni kumnyima uongozi huyu jamaa pamoja na kutumia jina la baba limbebe.Yaani ukisoma maandiko yake ni pumba za kitoto tuu
 
Le Mutuz inabidi tukusamehe,kwani jana ilikua Jumapili umekunywa chupa ngapi za bia,konyagi au konyangi ya kwenye makaratas(Ganja)Maana mtililiko wa wa majibu yako unanishangaza:target:
 
- ha! ha! ha! ipi afadhali kuiba mke wa mtu mwenye umri tofauti na wako kwa miaka 40 au kuishi home kwa wazazi wako? ha! ha! ha! ha! Rais wako ana umri wa miaka 70 mke wa kuiba miaka 30, by 2015 atakuwa na 74 sasa atakuwa Rais wa nini labda chama cha kuiba wake za watu! ha! ha!, unajua I looove this!!

Le Mutuz!
Usimtukane Dr wakati hajasema lolote dhidi yako,wewe watu wakiweka humu tabia za mama yako wakambo utafurahi? Au yaliyompata pale alipoporwa akielekea Dodoma? Acha tabia za kihuni wewe!Unaomba uongozi huku unakauli za kishenzi na kijinga kama hizi? Au nawe una akili kama ndugu yako Livingstone?
 
- Mkuu toa boriti kwenye jicho lako kwanza, siku Zitto akiruhusiwa kwua mgombea urais wa Chadema ndio uje na haya, otheriwse hayakuhusu ya CCM tuachie wenyewe!! CCM ina wenyewe hukusikia Komba anaimba jana!!

Le Mutuz!!

mbona wewe mtu mzima unapenda kujtoa ufahamu.. Imeandikwa wapi kuwa chadema ikimchagua Zitto kugombea urais ndio demokrasia!? Na kwanini basi labda usingtolea mfano labda cuf ambacho chenyewe kina mgombea wa maisha prof lipumba
 
ccm kwa miaka huwa kinatamba kwamba ni chama "imara, chenye uongozi imara, katiba bora, sera nzuri".

Lakini nikitazama kwa undani, sioni kama ccm ina vitu hivyo.

Ccm ina mwenyekiti, na mwenyekiti ndiye katiba, sera na kila kitu ndani ya ccm. Hakuna chama hapa tz ambacho hakina democrasia, au basi tuseme kina demokrasia ambayo haijulikani hapa duniani, kama ccm. Tazama kwa mfano mwenyekiti wa ccm ndiye:

(1) anayeunda kamati kuu, ambayo ndiyo inayoongoza chama;

(2) anaunda secretariati, ya akina kinana kwa sasa;

(3) anabadili katiba na kanuni kadri anavyoona inafaa na vikao cc & nec vinabariki tu nk - je hapo kuna democrasia?

Ona, mwenyekiti ccm akitaka sitta asiwe spika, basi ni suala la yeye kusema kuwa sasa ni zamu za akina mama finito au akitaka apate kura zote, anasema kila mkoa upige kura
kivyake: Hakuna demokrasi
toa kwanza lile boriti katika jicho lako ndipo utakapokiona vyema kile kibanzi katika jicho la nduguyo.haleluyah! wewe sema tu unaichukia ccm na unamchukia kikwete ndo maana unamtafutia sababu.hakuna chama chenye demokrasia afrika kama ccm.

- Kabla hujafundisha wengine Demokrasia anza na kwako, mruhusuni Zitto kugombea Urais kwanza ndio tutaamini mko serious na Demokrasia, otherwise ya CCM hayawahusu jalini ya kwenu huko ndani mnakouziana malori mabovu ya Mwenyekiti wenu! ha! ha! ha!

- Unasema kundi la EL hawakutaka JK aendelee kwani kundi la Mbowe lini limekubali Zitto agombee Urais? Yaani maneno maneno ya kizandiki, huna hoja nani hapa anataka kujua mambo ya baba yako aligombea au hakugombea, I mean what is this mbona nonsense at best!!

Wacheni kupiga piga mayowe people wacheni wananchi waone wenyewe!

LE Mutuz!!

Wewe gamba aliyekuambia mtoa mada ni Chadema ni nani????? unaweweseka nini kaka???YANI CCM mkilala mkiamka ni CHADEMA tuu!!!!!!! na kipindi hiki lazima Chadema wawatoe jasho kama sio kamasi.
for sure I`m telling you CCM this time mtakimbilia Malawi wote!!! na huko watawatimua pia maana mmeshawaletea zengwe kuhusu ziwa Nyasa
Yani hapa ndio nagundua kweli ccm kuna vilaza tupu. wewe unaulizwa swali hili unarukia usichoulizwa. ndo maana ulifeli darasani wewe na hata maisha ya kawaida tu yanakugonga hadi umtegemee baba kila kitu
 
- Oh really? Mbona Rais wako ana miaka 70 ameiba mke wa mtu mwenye miaka 30 is that a problem ya kumfanya asiwe rais au what? ha1 ha! ha! ha! Wale mabebs wa ukweee utawaweza wapi na wewe haujulikani, no way mtuwangu wale ni maji ya shingo tuaachie sisi wewe endelea kulia lia huku JF! ha1 ha! ha! ha!

Le Mutuz!!

mkuu ujue wengine humu ni sawa watoto wako.. Nmezaliwa 1990 na ww ni 1968 jaribu kufikiri unapofanya mabandiko yako humu
 
Km ni umri wa katibu mkuu wa cdm unamzuzua huyo aliyetelekeza familia ulaya, katibu wao kinana anaumri wa miaka mi ngapi?. Le mutuz jibu hoja, acha kuropoka. Zidumu fikra za mwekiti.
 
nakubalina na hoja kaka,kweli ccm hakuna democrasia hata kidogo,kura za kumchagua mwenyekiti ilikuwa ni zaidi
ya kupiga kimkoa ila ilikuwa pia kabla hujatumbukiza kura yako kwenye kisanduku ni lazima katibu wa mkoa wako
aone kwanza ulichopiga ni nini,kwa hiyo maana ya kura ni siri haikuwepo.

Ndiyo maana haikuwa rahisi kupiga kura ya hapana wala kuhalibu kura,ni kweli kaka katiba ya ccm ni mwenyekiti
wa ccm.na sikutegemea ndugu yangu macellor kupingana na ukweli huu.
 
Back
Top Bottom