SIONI kama CCM ina KATIBA, naona KATIBA ni MWENYEKITI

- Mkuu toa boriti kwenye jicho lako kwanza, siku Zitto akiruhusiwa kwua mgombea urais wa Chadema ndio uje na haya, otheriwse hayakuhusu ya CCM tuachie wenyewe!! CCM ina wenyewe hukusikia Komba anaimba jana!!

Le Mutuz!!
oh oh hapo kwenye kugombea urais ndio usiseme kabisa, umesahau Julius alivyomchinjia mshua wako baharini, mkapa nae 2005 akamchinjia ziwani, umesahau wazanzibar walimtaka Bilal kuwa rais wao toka 2000 lakini ccm bara mkawachagulia rais mnayemtaka nyie. naomba nicheke kibaharia ha ha ha ha!
 
Wasap meen vip tukapige picha na mabebi wa ukweli wakina Sinta na Wolper japo tumeshazeeka mzee mwenzangu

- Oh really? Mbona Rais wako ana miaka 70 ameiba mke wa mtu mwenye miaka 30 is that a problem ya kumfanya asiwe rais au what? ha1 ha! ha! ha! Wale mabebs wa ukweee utawaweza wapi na wewe haujulikani, no way mtuwangu wale ni maji ya shingo tuaachie sisi wewe endelea kulia lia huku JF! ha1 ha! ha! ha!

Le Mutuz!!
 
oh oh hapo kwenye kugombea urais ndio usiseme kabisa, umesahau Julius alivyomchinjia mshua wako baharini, mkapa nae 2005 akamchinjia ziwani, umesahau wazanzibar walimtaka Bilal kuwa rais wao toka 2000 lakini ccm bara mkawachagulia rais mnayemtaka nyie. naomba nicheke kibaharia ha ha ha ha!

- Kama mlivyochinjia Zitto baharini si ndio maana yake eti? au

Le Mutuz!!
 
- Sawa sawa kumbe mnaongozwa na njaa ndio maana mnalilia sana Ikulu! ha! ha! ha! lakini si umeona wananchi walivyo na akili sana Mikutano yenu wanajaaa kura wanatupa CCM, maana walishagundua siku nyingi mnaongozwa na njaaa!

Le Mutuz!!

William Malechela kwa kweli wewe haujakomaa kisiasa. Ni bahati tu kwamba umezaliwa na Malechela lkn ukweli wewe huna uwezo wa kujisimamia kisiasa! Hoja ya mjumbe ya kuwa CCM haioongozwi na katiba bali mawazo ya MWENYEKITI ina mashiko sana. Nilitegemea uchambuzi wako wa kina wa hoja hiyo ili utusaidie kutuonesha namna chama kinavyojiendesha kwa misingi ya kanuni na taratibu na si mawazo ya mtu mmoja. Tuna mifano mingi lakini michache ni hii;
  1. Kuondoa viongozi wastaafu kuwa wajumbe wa kamati kuu
  2. Dhana ya kujivua gamba
  3. Nyimbo dhahania za Kasi mpya nguvu mpya na ari mpya
  4. Mwelekeo wa kuwa victimize baadhi ya wanchama kwa sababu wanamchallenge mf EL
  5. Kulazimisha nafasi ya mwanamke ili kuwaondoa watu wenye mtazamo tofauti na yeye
  6. nk
Hoja kwamba mtoa hoja atoe boriti; ukimaanisha wamruhusu Zitto agombee kwanza Urais, naona kama haiuhusiani hata kidogo. Sana sana unamhakikishia mtoa mada kuwa alichosema ni sahihi kwa kuwa hata CHADEMA mwenyekiti hatoi nafasi kwa watu wengine!
 
Malecela jina Kubwa sana haiswihi jina hili kubwa kuandika upuuzi kila mara, Litendee haki jina hilo kubwa la mheshimiwa sana.
CDM imeshindwa kwenye uchaguzi upi hata uje na maneno yasiyohusiana na mada, wangekuwa wanashindwa kwenye uchaguzi wizi wa kura na mauaji ni ya nini? tunaojaa kwenye mikutano ndiyo wapiga kura na tunawachagua kweli viongozi wetu wa CDM lakini, mhhh, kuna kitu kinaitwa kurig, hicho balaa, kimewajaa magamba mpaka wananuka. kwani kule ikulu na bungeni kuna nini? hata wenyewe kwa wenyewe magamba mnaparurana ile mbaya ama ndiyo ajira pekee iliyobakia ambao wazee wameamua kuwarithisha?
 
- MAmbo yenu Chadema ya kuongozwa na mkwe wa Mtei na kumzuia Zitto asgiombee Urais na Mwenyekiti wa Chadema na jinsi mnavyouziana malori mabovu ya Mwenyekiti wenu sisi CCM hayatuhusu kabisaa, na nyinyi CCM tunavyochagua viongozi wetu hayawahusu, that was my point!

Le Mutuz!
 
- Kama mlivyochinjia Zitto baharini si ndio maana yake eti? au

Le Mutuz!!
ha ha ha ha Zitto kwa mujibu wa katiba tuliyonayo hana sifa ya kugombea urais muda bado mkubwa, mwanamke hawezi kubeba mimba mpaka avunje ungo, mkuu haufai kwenye siasa haujui kupima mambo usingeleta hoja ya Zitto kugombea urais na ndio maana CDM hawajaangaika nae Zitto hana sifz kwa mujibu wa katiba.Ha! Ha! Ha! Ha!
 
Malecela jina Kubwa sana haiswihi jina hili kubwa kuandika upuuzi kila mara, Litendee haki jina hilo kubwa la mheshimiwa sana.
CDM imeshindwa kwenye uchaguzi upi hata uje na maneno yasiyohusiana na mada, wangekuwa wanashindwa kwenye uchaguzi wizi wa kura na mauaji ni ya nini? tunaojaa kwenye mikutano ndiyo wapiga kura na tunawachagua kweli viongozi wetu wa CDM lakini, mhhh, kuna kitu kinaitwa kurig, hicho balaa, kimewajaa magamba mpaka wananuka. kwani kule ikulu na bungeni kuna nini? hata wenyewe kwa wenyewe magamba mnaparurana ile mbaya ama ndiyo ajira pekee iliyobakia ambao wazee wameamua kuwarithisha?

- Unajua nilisoma the minds of Criminals na Community Police, huwezi kufanikiwa na hizo study unless umeshuka chini to the level ya Criminals na Community, so it depends mkiongea hoja ninajibu hoja, lakini ninawapenda zaidi mkiongea pumba maana ndio sera zenu matusi na pumba, ni lughaa mnayoonekana kuielewa zaidi!!

Le Mutuz!!
 
Ha! ha! ha! ha! kwani CDM ilishateua mgombea Urais naona umejisahau kwamba umeshazeeka na bado unakula kwa baba yako na mama yako wa kambo jitoe home mkuu

- ha! ha! ha! ipi afadhali kuiba mke wa mtu mwenye umri tofauti na wako kwa miaka 40 au kuishi home kwa wazazi wako? ha! ha! ha! ha! Rais wako ana umri wa miaka 70 mke wa kuiba miaka 30, by 2015 atakuwa na 74 sasa atakuwa Rais wa nini labda chama cha kuiba wake za watu! ha! ha!, unajua I looove this!!

Le Mutuz!
 
Hakuna lolote CCM wanaongozwa kwa fikra za mwenyekiti, si umeona katiba ilivyofinyangwa, inaonekana hata mwenyekiti hajiamini akabadili katiba ili apigiwe za ndiyo ama hapana kwa vile amegundua kuna watu wanautaka hata huo wenyekiti wake kwa nguvu zote na yeye ni weak asingewaweza akina Le Mutuz, wanautaka huo u chamen kwa bidii kweli.
akashtukia deal akasema sasa hivi fikra za mwenyekiti lazima zidumu hakuna demokrasia hapa demokrasia wazipeleke kwa wake zao ila hapa mwenyekiti ni mimi na lazima mnipigie kura za ndiyo ama hapana. na nikipata 99.99% watu wa waandae maandamano ili wanipongeze kwa ushindi mkubwa "YAP" hao ndiyo magamba bwana wanaoongoza chama kwenye karne ya 21 kwa stail ya 1897.
 
ha ha ha ha Zitto kwa mujibu wa katiba tuliyonayo hana sifa ya kugombea urais muda bado mkubwa, mwanamke hawezi kubeba mimba mpaka avunje ungo, mkuu haufai kwenye siasa haujui kupima mambo usingeleta hoja ya Zitto kugombea urais na ndio maana CDM hawajaangaika nae Zitto hana sifz kwa mujibu wa katiba.Ha! Ha! Ha! Ha!

- Really? Unasema hana umri wa kuwa Mwenyekiti wenu? sasa mbona mlimchinjia mbali sana? halafu what happened to Makamu wa Mwenyekiti wenu Marehemu Wangwe?

Le Mutuz!
 
Hakuna lolote CCM wanaongozwa kwa fikra za mwenyekiti, si umeona katiba ilivyofinyangwa, inaonekana hata mwenyekiti hajiamini akabadili katiba ili apigiwe za ndiyo ama hapana kwa vile amegundua kuna watu wanautaka hata huo wenyekiti wake kwa nguvu zote na yeye ni weak asingewaweza akina Le Mutuz, wanautaka huo u chamen kwa bidii kweli.
akashtukia deal akasema sasa hivi fikra za mwenyekiti lazima zidumu hakuna demokrasia hapa demokrasia wazipeleke kwa wake zao ila hapa mwenyekiti ni mimi na lazima mnipigie kura za ndiyo ama hapana. na nikipata 99.99% watu wa waandae maandamano ili wanipongeze kwa ushindi mkubwa "YAP" hao ndiyo magamba bwana wanaoongoza chama kwenye karne ya 21 kwa stail ya 1897.

- Sawa sawa kama vile mnavyoongozwa na Mtei, Zitto alipochukua fomu ya Mwenyekiti unakumbuka mlivyofinyanga katiba yenu, au mnajua kuona kwa wengine tu? angalieni kwenu kwanza bro!!

Le Mutuz!!
 
WJM,
Wanakuonea tu. Wewe bado haujawa mwanaSIASA. Hauwezi kuitetea katiba ya CCM. Huenda hata haujapata muda wa kuisoma vizuri. JK ameshaona jitihada zako katika kugombea. Endapo atateua DC mpya bila shaka utakuwa wewe ili ujifunze siasa. Nakuomba tu usidhani kwamba kila anayeikosoa CCM basi huyo ni mwanaCHADEMA. Sisi wengine tunaipenda TANZANIA yetu.
 
- Mkuu toa boriti kwenye jicho lako kwanza, siku Zitto akiruhusiwa kwua mgombea urais wa Chadema ndio uje na haya, otheriwse hayakuhusu ya CCM tuachie wenyewe!! CCM ina wenyewe hukusikia Komba anaimba jana!!

Le Mutuz!!

Pamoja na vigezo vingine ususani umri utamruhusu Zitto anaweza kuwa mgombea 2015!
 
- Sawa sawa kama vile mnavyoongozwa na Mtei, Zitto alipochukua fomu ya Mwenyekiti unakumbuka mlivyofinyanga katiba yenu, au mnajua kuona kwa wengine tu? angalieni kwenu kwanza bro!!

Le Mutuz!!

Kwa uwezo wa huyu ndugu, hata ubalozi wa nyumba kumi haumfai, hana busara hizo. Kwa imani yako watu wote walioko hapa jf ni wanachadema? au Nchi hii ina vyama viwili tu CCM na Chadema kiasi ambacho unaamini kila anayeonekana kujiuliza maswali juu ya CCM basi ni Chadema?
 
mwenyekiti kikwete amesema hoja zijibiwe kwa hoja vinginevyo CCM ndio baaaaaaaasi tena. Mtoa mada ametoboa kuwa Mwenyekiti Kikwete is greater than Katiba ya CCM,anayebisha abishe kwa hoja jadidi.
 
Back
Top Bottom