NYAMKANG'ILI
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 223
- 112
CCM kwa miaka huwa kinatamba kwamba ni chama "imara, chenye uongozi imara, katiba bora, sera nzuri".
LAKINI nikitazama kwa undani, sioni kama CCM ina vitu hivyo.
CCM ina mwenyekiti, na mwenyekiti ndiye KATIBA, SERA na kila kitu ndani ya CCM. Hakuna chama hapa TZ ambacho hakina democrasia, au basi tuseme kina demokrasia ambayo haijulikani hapa duniani, kama CCM. TAZAMA kwa mfano MWENYEKITI WA CCM ndiye:
(1) anayeunda KAMATI KUU, ambayo ndiyo inayoongoza chama;
(2) anaunda secretariati, ya akina KINANA kwa sasa;
(3) anabadili KATIBA na KANUNI kadri anavyoona inafaa na VIKAO CC & NEC vinabariki tu nk - JE HAPO KUNA DEMOCRASIA?
ONA, mwenyekiti CCM akitaka SITTA asiwe spika, basi ni suala la yeye kusema kuwa sasa ni zamu za akina mama FINITO au akitaka apate kura zote, anasema kila mkoa upige kura
kivyake: HAKUNA DEMOKRASI
Du Hoja zake ni kiboko! Umeshindwa kujibu hata moja?- Mkuu toa boriti kwenye jicho lako kwanza, siku Zitto akiruhusiwa kwua mgombea urais wa Chadema ndio uje na haya, otheriwse hayakuhusu ya CCM tuachie wenyewe!! CCM ina wenyewe hukusikia Komba anaimba jana!!
Le Mutuz!!
- Mkuu toa boriti kwenye jicho lako kwanza, siku Zitto akiruhusiwa kwua mgombea urais wa Chadema ndio uje na haya, otheriwse hayakuhusu ya CCM tuachie wenyewe!! CCM ina wenyewe hukusikia Komba anaimba jana!!
Le Mutuz!!
Mwanangu William Malecela sikujua kuwa umeishiwa hivyo. CCM ni chama tawala hivyo watanzania wana haki na wajibu wa kuiongelea. Kama Mungu mwenyewe anaongelewa itakuwa CCM? Mbona umedandia CDM imeingiaje mwanangu kama siyo kuishiwa? Nasikia ulisoma Marekani. Mbona huonyeshi cheche hata chembe za usomi zaidi ya kutumia jina la baba yako kuganga njaa kisiasa? Hebu onyesha makeke yako ya kisomi badala ya kuandika kama mhuniii wa Manzese au Mwenge kwa wapiga debe. Hebu pinga kuwa Mkiti hakumkataa Sitta na kuweka mtu wao wa kulinda ufisadi wao yaani Anna Makinda spika wa kusimikwa na mafisadi? Hebu kanusha uvumi kuwa wana CCM wengi hasa wa mtandao wa EL hawakutaka Kikwete aendelee kuwa mkiti lakini bahati mbaya wazimwa kimizengwe. Hebu pinga kuwa CCM si chama cha mizengwe hasa ukirejea alivyozuiwa baba yako mwenyewe kugombea urais mara nyingi tu. Hebu rejea alivyowekewa zengwe akishindwa na mhuniii bingwa wa matusi Lusinde aka ******** kwa kisukuma. Kwa leo ni hayo tu mwanangu.
- Mkuu toa boriti kwenye jicho lako kwanza, siku Zitto akiruhusiwa kwua mgombea urais wa Chadema ndio uje na haya, otheriwse hayakuhusu ya CCM tuachie wenyewe!! CCM ina wenyewe hukusikia Komba anaimba jana!!
Le Mutuz!!
- Mkuu toa boriti kwenye jicho lako kwanza, siku Zitto akiruhusiwa kwua mgombea urais wa Chadema ndio uje na haya, otheriwse hayakuhusu ya CCM tuachie wenyewe!! CCM ina wenyewe hukusikia Komba anaimba jana!!
Le Mutuz!!
Ha! Ha! Ha! Ha! Wasap men!!!!!! Mabebi wa ukweli. Hivi ni baadhi ya vitu vinavyokufanya ushindwe chaguzi kibao wewe mla burger- Mkuu toa boriti kwenye jicho lako kwanza, siku Zitto akiruhusiwa kwua mgombea urais wa Chadema ndio uje na haya, otheriwse hayakuhusu ya CCM tuachie wenyewe!! CCM ina wenyewe hukusikia Komba anaimba jana!!
Le Mutuz!!
NYAMKANG'ILICCM kwa miaka huwa kinatamba kwamba ni chama "imara, chenye uongozi imara, katiba bora, sera nzuri".
LAKINI nikitazama kwa undani, sioni kama CCM ina vitu hivyo.
CCM ina mwenyekiti, na mwenyekiti ndiye KATIBA, SERA na kila kitu ndani ya CCM. Hakuna chama hapa TZ ambacho hakina democrasia, au basi tuseme kina demokrasia ambayo haijulikani hapa duniani, HAKUNA DEMOKRASI
- Mkuu toa boriti kwenye jicho lako kwanza, siku Zitto akiruhusiwa kwua mgombea urais wa Chadema ndio uje na haya, otheriwse hayakuhusu ya CCM tuachie wenyewe!! CCM ina wenyewe hukusikia Komba anaimba jana!!
Le Mutuz!!
Mwanangu William Malecela sikujua kuwa umeishiwa hivyo. CCM ni chama tawala hivyo watanzania wana haki na wajibu wa kuiongelea. Kama Mungu mwenyewe anaongelewa itakuwa CCM? Mbona umedandia CDM imeingiaje mwanangu kama siyo kuishiwa? Nasikia ulisoma Marekani. Mbona huonyeshi cheche hata chembe za usomi zaidi ya kutumia jina la baba yako kuganga njaa kisiasa?
Hebu onyesha makeke yako ya kisomi badala ya kuandika kama mhuniii wa Manzese au Mwenge kwa wapiga debe. Hebu pinga kuwa Mkiti hakumkataa Sitta na kuweka mtu wao wa kulinda ufisadi wao yaani Anna Makinda spika wa kusimikwa na mafisadi? Hebu kanusha uvumi kuwa wana CCM wengi hasa wa mtandao wa EL hawakutaka Kikwete aendelee kuwa mkiti lakini bahati mbaya wazimwa kimizengwe.
Hebu pinga kuwa CCM si chama cha mizengwe hasa ukirejea alivyozuiwa baba yako mwenyewe kugombea urais mara nyingi tu. Hebu rejea alivyowekewa zengwe akishindwa na mhuniii bingwa wa matusi Lusinde aka ******** kwa kisukuma. Kwa leo ni hayo tu mwanangu.
Ha! Ha! Ha! Ha! Wasap men!!!!!! Mabebi wa ukweli. Hivi ni baadhi ya vitu vinavyokufanya ushindwe chaguzi kibao wewe mla burger
Sio siri unakiaibisha chama chako.
Jibu hoja kama mwana ccm anayekijua chama chake.
Mwenyekiti wenu aliwataka mjibu hoja na mjitahidi kukijenga chama ila wewe badala ya kujibu hoja kwa kutoa maelezo ya kina kupinga au kukubali hoja chakushangaza wewe unaruka mada na kukimbilia nje ya hoja kwa kuongea majibu ya kitoto na rahisi juu ya maswali magumu.
Wewe unanifanya niamini kuwa ccm ni sawa na mbwa anayejisaidia na kula kinyesi chake.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Njaa mbaya!
Wana sema eti umerudi home kuwahi URITHI. Kisa, mmemshtukia MPARE.