Kwenye uchaguzi vyama vya upinzani viko 17 vitakashiriki uchaguzi baada ya Chadema kujitoaViko 18
Hivyo CCM itapambana na vyama 17 vya upinzani kwenye sanduku la kura
Kwenye uchaguzi vyama vya upinzani viko 17 vitakashiriki uchaguzi baada ya Chadema kujitoaViko 18
ACT sio chama cha siasaKuna ACT wazalendo wanakuja kwa kasi
Hivyo vyama 17 ni Ccm branchKwenye uchaguzi vyama vya upinzani viko 17 vitakashiriki uchaguzi baada ya Chadema kujitoa
Hivyo CCM itapambana na vyama 17 vya upinzani kwenye sanduku la kura
Ni nini?ACT sio chama cha siasa
Weka ushahidiHivyo vyama 17 ni Ccm branch
Weka ushahidi
100%ni heri kuwepo na mfumo wa chama kimoja kuliko hv sasa
JESHI LA POLISI NA MAHAKAMA ZINATAKIWA KUVUNJWA TUANZE UPYAAdui wa Watanganyinka ni Jeshi la po-li-si.
Mliokalilishwa ujinga,utakuwa unatokea mkoa mmoja maskini kabisa wenda RukwaLabda huelewi maana ya kampeni, ht hivyo CCM iko na wananchi muda wote, ni juzi alipita Katibu mkuu kusini mwa nchi, sahivi yuko katibu wa uenezi, itikadi na mafunzo. CCM ipo kiganjani mwa wananchi. Kampeni ni wakati wa kuelezea ilani mpya ya 2025-2030, kwa hiyo ni lazima. CCM ni profesa wa siasa bwanamdogo tulieni mjifunze kwanza
ni kweli, hawapaswi kufanya kampeni kwa mukhtadha huu. Hizo pesa za kampeni wazielekeze kwenye miradi ya wananchiIkiwa wanao wagombea na Tume kwann wanahangaika kufanya tena kampeni?
Miradi ya Wananchi kwa kipi haswa? Bora wakanunue apartments Dubaini kweli, hawapaswi kufanya kampeni kwa mukhtadha huu. Hizo pesa za kampeni wazielekeze kwenye miradi ya wananchi
hivyo navyo ni vyama vya upinzani au ni michosho tu? Hakuna upinzani hapoKwenye uchaguzi vyama vya upinzani viko 17 vitakashiriki uchaguzi baada ya Chadema kujitoa
Hivyo CCM itapambana na vyama 17 vya upinzani kwenye sanduku la kura
ni mshirika wa ccmACT sio chama cha siasa
huoni kuwa ACT ni chama tawala pamoja na CCM?Ni nini?
hivyo navyo ni vyama vya upinzani au ni michosho tu? Hakuna upinzani hapo
ndio maana yake, turudi kwenye siasa za chama kimoja kuliko kuzuga kuna vyama vingi kumbe hakunani heri kuwepo na mfumo wa chama kimoja kuliko hv sasa
ni zoezi la kipuuzi kwenda kupanga foleni kupiga kura wakati tayari mshindi anajulikana. Huo muda wa kupojeza utatoka wapi?We jiandae kupiga kura ndo Kazi yenu masikini mnahangaishwa