LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 27,020
- 41,666
ni mpaka ccm iondoke madarakani, vile ni vyombo vya ccmJESHI LA POLISI NA MAHAKAMA ZINATAKIWA KUVUNJWA TUANZE UPYA
ni mpaka ccm iondoke madarakani, vile ni vyombo vya ccmJESHI LA POLISI NA MAHAKAMA ZINATAKIWA KUVUNJWA TUANZE UPYA
Una hoja mkuu. Wanachezea tu kodi na misaadaIkiwa wanao wagombea na Tume kwann wanahangaika kufanya tena kampeni?
Barabara za nini? Waongeze V8Ni Bora hizo fedha zijenge barabara za mitaa kuliko kuziharibu unatumia bill 300 kwenye ujinga na upumbavu.watz tusiwe kama kuku bandani tupambane.
chadema haijaanguka wewe, ccm ndio ina kiburi, unaongea kinyumeShetani alikuwa na kiburi kama Chadema kaanguka puuu chini zamu yenu Chadema kuanguka na kiburi chenu
Vitajichuja vyenyewe taratibu mpaka vibaki viwili au kimojandio maana yake, turudi kwenye siasa za chama kimoja kuliko kuzuga kuna vyama vingi kumbe hakuna
ikiwa hali itaendelea hivi hivi bila uwepo wa chadema kwenye kampeni, ccm haitakuwa na presha kubwa ya kushindwa itajimwayamwaya kufanya kampeni zake miji mikubwa tu tena kwa kuchagua, hakuna upinzani. Vile vyama vya kipuuzi vitakavyojitokeza kufanya kampeni vyenyewe vitajijititimua tu ili vionekane vipo ila hakuna mwananchi mwenye akili timamu ataenda kupoteza muda wake kuvisikiliza vinasema nini kwenye kampeni zao na kura vitapata za kuchekeshaUna hoja mkuu. Wanachezea tu kodi na misaada
Huko ni kuchezea pesa tuu hizo pesa wangeelekeza kwenye mambo mengine, maana rais anajulikana washajiteua wenyewe hamna haja ya kampeni Wala uchaguzi, wangeairisha tuu mpaka 2030, over.Labda huelewi maana ya kampeni, ht hivyo CCM iko na wananchi muda wote, ni juzi alipita Katibu mkuu kusini mwa nchi, sahivi yuko katibu wa uenezi, itikadi na mafunzo. CCM ipo kiganjani mwa wananchi. Kampeni ni wakati wa kuelezea ilani mpya ya 2025-2030, kwa hiyo ni lazima. CCM ni profesa wa siasa bwanamdogo tulieni mjifunze kwanza
Uhakika. Sio ccm wala chauma wala act siwez sogelea jukwaa la hao wapuuzi. Sema walivyo watu wa hivyo watalazimisha watumishi na wanafunzj wahudhurie kampeni zao na kura wapige kwa lazima. Hawana akiliikiwa hali itaendelea hivi hivi bila uwepo wa chadema kwenye kampeni, ccm haitakuwa na presha kubwa ya kushindwa itajimwayamwaya kufanya kampeni zake miji mikubwa tu tena kwa kuchagua, hakuna upinzani. Vile vyama vya kipuuzi vitakavyojitokeza kufanya kampeni vyenyewe vitajijititimua tu ili vionekane vipo ila hakuna mwananchi mwenye akili timamu ataenda kupoteza muda wake kuvisikiliza vinasema nini kwenye kampeni zao na kura vitapata za kuchekesha
ni kweli, hawapaswi kufanya kampeni kwa mukhtadha huu. Hizo pesa za kampeni wazielekeze kwenye miradi ya wananchi
Sio kampeni tu hata uchaguzi hauna maana nikupoteza tuu pesa zetu
Ukishajitoa utulie, vyama viko 18 na vitashiriki uchaguzi.Ikiwa wanao wagombea na Tume kwann wanahangaika kufanya tena kampeni?
Wenye demokrasia mmekuwa madikteta uchwara kulazimisha wananchi tusishiriki uchaguzi. Acha CCM wajitwalie nchi.CCM wapewe nchi mwezinwa saba, hatuna haja ya kuwa nchi ya kidemokrasia tena
Rais mstaarab au mnafki?!.Hiyo hamasa utakuwa unafanya nyumbani kwako na mke/mme wako. Ukitaka kuiona dola subiri kuanzia sasa. Nyambaf hamuwezi kuisumbua nchi, mmeshindwa kumtumia vizuri Rais mstaarabu km Samia nani ataweza kuwavumilia wapumbavu km nyie?
Kampeni ni kanya boya kuonyesha wafadhili democracy ipo mkuuIkiwa wanao wagombea na Tume kwann wanahangaika kufanya tena kampeni?
walau baadhi ya sekta kama burudani, usafiri, printing, guest houses watengeneze pesaIkiwa wanao wagombea na Tume kwann wanahangaika kufanya tena kampeni?
Alafu baadaye kwa usahalifuwao baada ya Chadema kuzuiwa watakuja na igizo kama la COVID-19ikiwa hali itaendelea hivi hivi bila uwepo wa chadema kwenye kampeni, ccm haitakuwa na presha kubwa ya kushindwa itajimwayamwaya kufanya kampeni zake miji mikubwa tu tena kwa kuchagua, hakuna upinzani. Vile vyama vya kipuuzi vitakavyojitokeza kufanya kampeni vyenyewe vitajijititimua tu ili vionekane vipo ila hakuna mwananchi mwenye akili timamu ataenda kupoteza muda wake kuvisikiliza vinasema nini kwenye kampeni zao na kura vitapata za kuchekesha
Bibi hatupigii hadithi za mazimwi ngala huku tunachoma viazi vitamu kabla ya kudoro?Basi tufanye wamepita bila kupingwa Samia ndo raisi mpaka 2030. Haya tulale.
Huelewi Alichoandika Umeropoka....kwa kifupi amemaanisha MNATUPOTEZEA MUDA WA KUUNGA FOLENI NA KUVICHAFUA VIDOLE KUMBE MAJIBU YA MATOKEO TIARI MNAYOLabda huelewi maana ya kampeni, ht hivyo CCM iko na wananchi muda wote, ni juzi alipita Katibu mkuu kusini mwa nchi, sahivi yuko katibu wa uenezi, itikadi na mafunzo. CCM ipo kiganjani mwa wananchi. Kampeni ni wakati wa kuelezea ilani mpya ya 2025-2030, kwa hiyo ni lazima. CCM ni profesa wa siasa bwanamdogo tulieni mjifunze kwanza