Silas Samuel
JF-Expert Member
- Apr 18, 2024
- 874
- 626
Ni nchi chache hapa Africa ambazo hazijui Matokeo ya uchaguzi kabla uchaguzi hujakaribia kufanywa...Tz tunajua matokeo ya Uchaguzi unaofwata Haina Hata Raha Kabisa kusema Kunao Uchaguzi Mkuu maana hamna ushindani wowote hakuna Ushindani wababe wakizidi kuonea huwa inaanza kuboa na watu wanavyoendelea kuboeka kijani na njano ndo zitaunga foleni kwenda kujichaguaIkiwa wanao wagombea na Tume kwann wanahangaika kufanya tena kampeni?