and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,107
Ikiwa wanao wagombea na Tume kwann wanahangaika kufanya tena kampeni?
Ikiwa wanao wagombea na Time kwann wanahangaika kufanya tena kampeni?
Utapeli na upigajiIkiwa wanao wagombea na Tume kwann wanahangaika kufanya tena kampeni?
Itqsaidia nini au yatabadili nini hayo maandamanoCCM wataamua wenyewe siku ya UCHAFUZI MKUU, kusimamia uchaguzi wao ama kuzuia maandamano ya amani.
Ngoja waandae uchaguzi, sisi tuendelee na hamasa yetu ya "NO REFORM, NO ELECTION". Siku ya uchaguzi sisi tuendelee na maandamano ya Amani.
Labda huelewi maana ya kampeni, ht hivyo CCM iko na wananchi muda wote, ni juzi alipita Katibu mkuu kusini mwa nchi, sahivi yuko katibu wa uenezi, itikadi na mafunzo. CCM ipo kiganjani mwa wananchi. Kampeni ni wakati wa kuelezea ilani mpya ya 2025-2030, kwa hiyo ni lazima. CCM ni profesa wa siasa bwanamdogo tulieni mjifunze kwanzaIkiwa wanao wagombea na Tume kwann wanahangaika kufanya tena kampeni?
Kwasababu wamesusa hao nyumba wapumbavu? Viko vyama 18 vinashiriki uchaguzi. Acheni arrogance na ubinafsi, hao chadomo ni chama kimoja tu wasijione wana upekee wowote. Kaeni kwa kutulia wacheni wazalendo wa nchi hii wafanye mambo yao, nyie vibaraka mnaweza kwenda kupumzika kwa mabwana zenuSio kampeni tu hata uchaguzi hauna maana nikupoteza tuu pesa zetu
Chadema sio chama cha upinzani pekee TanzaniaIkiwa wanao wagombea na Tume kwann wanahangaika kufanya tena kampeni?
Hiyo hamasa utakuwa unafanya nyumbani kwako na mke/mme wako. Ukitaka kuiona dola subiri kuanzia sasa. Nyambaf hamuwezi kuisumbua nchi, mmeshindwa kumtumia vizuri Rais mstaarabu km Samia nani ataweza kuwavumilia wapumbavu km nyie?CCM wataamua wenyewe siku ya UCHAFUZI MKUU, kusimamia uchaguzi wao ama kuzuia maandamano ya amani.
Ngoja waandae uchaguzi, sisi tuendelee na hamasa yetu ya "NO REFORM, NO ELECTION". Siku ya uchaguzi sisi tuendelee na maandamano ya Amani.
Viko 18Chadema sio chama cha upinzani pekee Tanzania
Viko vingine 17
Chadema shida yenu hamjui siasaIkiwa wanao wagombea na Tume kwann wanahangaika kufanya tena kampeni?
CCM wapewe nchi mwezinwa saba, hatuna haja ya kuwa nchi ya kidemokrasia tenaIkiwa wanao wagombea na Tume kwann wanahangaika kufanya tena kampeni?
Kuna ACT wazalendo wanakuja kwa kasiWashindi ni Drs [SSH&EN] 100% Vs Dovutwa 0%
Polisi wanatumwaAdui wa Watanganyinka ni Jeshi la po-li-si.