Sioni Gen Z Wakifanikiwa

Sioni Gen Z Wakifanikiwa

Logikos,

Changamoto ninayo iona ni kwa gen z kushindwa kuandamana kwa amani,hilo ndio tatizo kubwa sana
Apart from maandamano ya Wakenya Gen - Z ambayo yalikuwa out of this world kwa madogo kuandamana kujipiga picha na kushusha nondo; mara nyingi maandamano ni vigumu ku-maintain momentum; ingawa huwa kuna ile mikusanyiko kama iliyotokea katika Arab Springs ingawa sio Maandamano per se bali ni mikusanyiko inayoonyesha watu wapo ni vigumu sana kwa kuhakikisha maandamano yenu ya Mamba Kenge hawaingii
Wakiwa provoked na mabomu ya machozi cha kwanza watacho fanya ni kupaniki na hasira zao kuzihamishia katika kuharibu miundo mbinu na biashara za watu

Na hapo ndio uhalali wa kuitwa wahuni na vibaka utaonekana na kuchukuliwa hatua kali
Hio mara nyingi wala huwa sio Waandamanaji bali huwa ni Serikali wenyewe wanakodi watu wafanye fujo kuna historical facts za hilo kutokea:-
  • Gen Z na Goons huko Kenya
  • CIA / UK na Mohammad Mosaddegh huko Iran...
Lakini tunapoelekea ogopa mtu ambae hana cha kupoteza anaona bora akafie mtaani na hilo kundi litakuja na Gen Alpha; watu wamesoma, wamepigika na ni masikini wa kutupwa wasio na hope alafu wewe upo bali unakula mpaka makombo....

Extreme Poverty anywhere is a threat to everyone everywhere.... - Na huko ndio tunapokwenda sababu hatujengi infrastructure za kuondoa janga na mafukara wa kesho...
 
My people,

Haya ni maoni yangu binafsi na si lazima yafanane na wengi wenu,na kutofautiana na wengi wenu nisionekane napinga harakati za kuikomboa Tanganyika

Kuna msemo mmoja wa kiingereza unasema ukitaka kumuua mbwa basi mpe jina baya,maana yake ni kwamba kwa kawaida au akili ya kawaida huwezi kumuua mbwa bila sababu na hasa kwa jamii ambayo wanapenda wanyama wa kufuga.

Ili umuue na kuepuka maswali mengi basi mapema sana unampa jina baya,na Watawala nao wametumia mfano huo huo kuwapa Gez Z jina baya ili wahalalishe kudili nao bila kuwa na tashuwishu nyingi.

Ndio maana umesikia wameitwa wahuni au wezi wa kuiba mali za watu na kuharibu miundo mbinu kama ambavyo tumeyaona yaliyotokea tarehe 29/10/25

Kwahiyo hawa Gen Z ambao wanapanga tena kuandamana tar 9/12/25 siku ya uhuru hawatakuwa na sifa nyingine yoyote ile isipokuwa ni ile ile ya kuitwa WAHUNI NA VIBAKA

Hapo utatumika msemo ule ule ukitaka kumuua mbwa basi muite jina baya,hapo kuna vijana wengine tena watauwawa,tena safari hii kwa kutaka kuiangusha Mamlaka au Serikalli

Msione hii tume ya Maridhiano imeundwa haraka,watapitia humo humo kwamba Serikali ina nia thabiti ya kuleta suluhu lakini wahuni wachache wanakwamisha hizi juhudi na kuleta machafuko hapa nchini,kwahiyo hawatavumiliwa na watashughulikiwa

Vile vile Serikali imeahidi kwamba ndani ya siku 100 italeta au kuanza mchakato wa kupata katiba yenye kuridhiwa na wananchi,hiyo ni fimbo nyingine ya kuwachapia Gen Z ambao sasa wanajulikana kama wahuni wachache.

Kwahiyo ukiangalia kwa mapana yake ni kwamba Serikali imechukua hatua kadhaa ili kuleta kinachoitwa maridhiano lakini kwa upande wa pili lawama zitakuja kwa GEN Z kwamba ni wahuni wachache ambao wanataka kuharibu amani ya nchi,hapo watashughulikiwa,je watashughulikiwa kwa kutumia nguvu kama ya awali? Hakuna anayejua muda utaongea.

Pili sioni uungwaji mkubwa wa watu katika kufanikisha hayo maandamano,watu wameumizwa na yale yaliyo tokea 29 october,wamepoteza wapendwa wao na sidhani kama watakuwa tayar kupoteza wengine tena.

Tatu ile athari ambayo jamii iliipata kama matokeo ya kuzuiwa majumbani na kuacha shughuli zao ili waathiri watu wengi sana,sioni hamasa ya watu kuingia kwenye mazingira yale tena

Nataka kusema nini hapa,maana yake ni kikundi kidogo tu cha watu wataingia barabarani na kukosa uhalali au sapoti ya watu wengi hivyo kukosa ile nguvu ya maandamano ambayo ingetakiwa itikise watawala na hatimaye nguvu ya umma ipate kuonekana

My take, ni ngumu sana kuuondoa utawala kwa maandamano ambayo hayana kiongozi,kwahiyo wote tunataka mabadiliko lakini sioni kuleta mabadiliko kwa stahili hii,sana sana italeta maafa na vijana wengi kupoteza uhai

Naamini kabisa kilichofanyika tar 29 October kimeiamsha dunia na kujua nini kinaendelea hapa Tanzania,ubaya umeonekana na sauti zimesikika,naamini hili halita pita hivi hivi ila litakuwa na athari chanya siku chache zijazo

Mungu ibariki Afrika na Mungu ibariki Tanzania

Ni hayo tu!
Bonge la uzi hongera sana Mkuu

Wewe kweli ni Great thinker 🫡
 
Ulichoandika ni ukweli mtupu

Hizo kelele za Diaspora hao walioreply ujinga hapo mwanzoni mwanzoni wala usibabaike nazo wote hao tarehe 29 hadi 3 hawakuwepo Bongo so wamehadithiwa tu
 
Kwa sasa tumeshajua lugha mtakayoelewa CCM ni risasi maana mnatambia risasi ndio maana kibibi muuaji alisema "askari wa chama cha mapinduzi hakosi shabaha tatu"

Sasa usishangae siku hiyo Gen Z nao wakaja kama mlivyokuja , hapo utamlaumu nani?
 
With all due respect, umezingua na hili andiko lako ! 🗑 🚮
 
My people,

Haya ni maoni yangu binafsi na si lazima yafanane na wengi wenu,na kutofautiana na wengi wenu nisionekane napinga harakati za kuikomboa Tanganyika

Kuna msemo mmoja wa kiingereza unasema ukitaka kumuua mbwa basi mpe jina baya,maana yake ni kwamba kwa kawaida au akili ya kawaida huwezi kumuua mbwa bila sababu na hasa kwa jamii ambayo wanapenda wanyama wa kufuga.

Ili umuue na kuepuka maswali mengi basi mapema sana unampa jina baya,na Watawala nao wametumia mfano huo huo kuwapa Gez Z jina baya ili wahalalishe kudili nao bila kuwa na tashuwishu nyingi.

Ndio maana umesikia wameitwa wahuni au wezi wa kuiba mali za watu na kuharibu miundo mbinu kama ambavyo tumeyaona yaliyotokea tarehe 29/10/25

Kwahiyo hawa Gen Z ambao wanapanga tena kuandamana tar 9/12/25 siku ya uhuru hawatakuwa na sifa nyingine yoyote ile isipokuwa ni ile ile ya kuitwa WAHUNI NA VIBAKA

Hapo utatumika msemo ule ule ukitaka kumuua mbwa basi muite jina baya,hapo kuna vijana wengine tena watauwawa,tena safari hii kwa kutaka kuiangusha Mamlaka au Serikalli

Msione hii tume ya Maridhiano imeundwa haraka,watapitia humo humo kwamba Serikali ina nia thabiti ya kuleta suluhu lakini wahuni wachache wanakwamisha hizi juhudi na kuleta machafuko hapa nchini,kwahiyo hawatavumiliwa na watashughulikiwa

Vile vile Serikali imeahidi kwamba ndani ya siku 100 italeta au kuanza mchakato wa kupata katiba yenye kuridhiwa na wananchi,hiyo ni fimbo nyingine ya kuwachapia Gen Z ambao sasa wanajulikana kama wahuni wachache.

Kwahiyo ukiangalia kwa mapana yake ni kwamba Serikali imechukua hatua kadhaa ili kuleta kinachoitwa maridhiano lakini kwa upande wa pili lawama zitakuja kwa GEN Z kwamba ni wahuni wachache ambao wanataka kuharibu amani ya nchi,hapo watashughulikiwa,je watashughulikiwa kwa kutumia nguvu kama ya awali? Hakuna anayejua muda utaongea.

Pili sioni uungwaji mkubwa wa watu katika kufanikisha hayo maandamano,watu wameumizwa na yale yaliyo tokea 29 october,wamepoteza wapendwa wao na sidhani kama watakuwa tayar kupoteza wengine tena.

Tatu ile athari ambayo jamii iliipata kama matokeo ya kuzuiwa majumbani na kuacha shughuli zao ili waathiri watu wengi sana,sioni hamasa ya watu kuingia kwenye mazingira yale tena

Nataka kusema nini hapa,maana yake ni kikundi kidogo tu cha watu wataingia barabarani na kukosa uhalali au sapoti ya watu wengi hivyo kukosa ile nguvu ya maandamano ambayo ingetakiwa itikise watawala na hatimaye nguvu ya umma ipate kuonekana

My take, ni ngumu sana kuuondoa utawala kwa maandamano ambayo hayana kiongozi,kwahiyo wote tunataka mabadiliko lakini sioni kuleta mabadiliko kwa stahili hii,sana sana italeta maafa na vijana wengi kupoteza uhai

Naamini kabisa kilichofanyika tar 29 October kimeiamsha dunia na kujua nini kinaendelea hapa Tanzania,ubaya umeonekana na sauti zimesikika,naamini hili halita pita hivi hivi ila litakuwa na athari chanya siku chache zijazo

Mungu ibariki Afrika na Mungu ibariki Tanzania

Ni hayo tu!
Umeficha ficha nimepenyua vizuri nimekuja kujua ni chawa linajifanya sisimizi

Chawa ulificha kwenye msafara wa sisimizi

Matacall yako
 
Ili umuue na kuepuka maswali mengi basi mapema sana unampa jina baya,na Watawala nao wametumia mfano huo huo kuwapa Gez Z jina baya ili wahalalishe kudili nao bila kuwa na tashuwishu nyingi.
Kwani katika akili zako, Tanzania ndiko kutakuwa sehemu ya kwanza kwa tukio la vijana kuleta mabadiliko?

Tuonyeshe sehemu nyingine yoyote duniani ambako watawala waliwapa "jina zuri" wale waliotaka kuwanyang'anya madaraka?

Hapa hakuna la "hiari"; hao wanaotoa majina mabaya hawana hiari ya kukubali au kukataa.

Sasa huyo mbwa anayepewa jina baya ili auawe, yeye ndiye atakayepindua meza. Umeelewa?
 
Nawakumbusha Gen Z kwa Mara nyingine tena. Polisi wana bunduki, risasi pia na zinaua!
Nb. Tusione vilio kwamba wamekufa ndugu zetu hizo tarehe zijazo!
Kwamba hapa unatwambia kuwa hilo jeshi lenu la polisi ni dhaifu sana,halina waledi wala watu wenye akili, na ndio maana litatumia risasi za moto kuzuia maandamano si ndio?

Kwamba mapolisi wenu hawajui kutumia tear gases, water cannons na rubber bullets ku neutralize civil demonstration bali wao wanachojua ni kutumia lethal weapons kama AK-47 na Amarilte AR-50 kuwamaliza kabisa waandamanaji sio? Yaan hawataki kujisumbua kutumia akili, bali wao wanatumia shortcut ya uhakika zaidi sio?
 
Sasa kama uliingia kitaa ukitaka kuchoma mali za watu. Uliingia kitaa ukiwa na panga mkononi, ni wewe mwandamanaji ukianza kuua askari na waalimu wasimamizi wa kura. Askari wakatumia tear gases ondoka ukalale hukutaka. Haitoshi ndugu mwandamanaji ukawakata vidole wasio wa chama chako waliopiga kura! Ndugu mwandamanaji una tofauti gani na Mbogamboga ambao wao kukosolewa ni madhambi?
Kwamba ndugu mwandamanaji itikadi ya chama chako ni Bora sana kwamba kila moja lazima aifuate?
Baba yangu ana miaka 66 sasa hakuna akijuacho zaidi ya mboga mboga mlimkata kidole!
Yaani ye hana uhuru wa kuwa Mbogamboga?
Badilikeni lazima mheshimu mawazo na itikadi za wengine
 
Kuhusu kuheshimu utofauti wetu wa kiitikadi hilo nakubaliana na wewe, na kama yupo aliyemuadhibu mwenzake kwa sababu tu ya kupiga kura, basi anastahili kuadhibiwa na yeye ila kwa adhabu stahili na sio kifo.

Nafikiri ni aidha hujanielewa kiini cha hoja yangu ni nini hasa au ni ubishi tu unaleta, suala hapa je hao waandamanaji waliokuwa wanazunguka kuchoma vituo vya mafuta hilo mnaaloita jeshi la polisi lilishindwa kabisa kuwadhibiti kwa kutumia water cannons,tear gases na rubber bullets?

Kama lilishindwa kutumia hizo nyenzo tatu hapo juu na badala yake likaona litumie silaha za kivita kabisa dhidi ya watu wanaotumia mawe tu basi hilo ni jeshi dhaifu sana na limejaza vilaza tupu..

Gari moja la water cannons linauwezo wa kuwatawanya waandamanaji 200 kwa mara moja, maana ile pressure yake inauwezo wa kuyarusha maji ya washa washa hata umbali wa mita 70.

Hapo bado hujatumia mabomu ya machozi ukachanganya na risasi za plastic ambazo mkimpiga muandamanaji muda huo huo mwili wake unakufa ganzi anakosa nguvu ya kuendelea na fujo zake.

Hizo nyenzo zinatosha kabisa kudhibiti maandamano ya fujo za aina yoyote ile, sema tu hao maaskari wenu ni vilaza na hawana waledi wowote ndio maana wakaona watumie njia ya shortcut ya kupiga risasi za moto watu ambao hawana hata silaha za moto.

Matumizi ya silaha za moto yangeweza kuwa justified kama waandamanaji nao wangekuwa na silaha za moto... ila kwa sasa hivi hakuna neno la kuwatetea hao polisi likaleta maana.
 
Ok hao polisi wasitetewe ka usemavyo. Lakini kwa hali kama Ile waandamanaji zaidi ya 50000 wanakuja upande wako si tu we ni askari ilibidi wao wawe watu wa kawaida wenye nafsi kutetea uhai kwa kutumia bunduki.
 
SISI KAMA GEN Z TUNAUHAKIKA TUTAIONDOA HII SERIKALI OVU ILI KUMALIZA MAMBO YA KIJINGA YA KUTEKA,KUTOKUTENDA HAKI N.K.

mlisema hivo hivo kabla ya tarehe 29, hivi sana munalilia ICC
 
Ok hao polisi wasitetewe ka usemavyo. Lakini kwa hali kama Ile waandamanaji zaidi ya 50000 wanakuja upande wako si tu we ni askari ilibidi wao wawe watu wa kawaida wenye nafsi kutetea uhai kwa kutumia bunduki.
Ndio maana ninakwambia hilo jeshi lenu la polisi ni dhaifu sana na limejaza vilaza tupu ambao nje na bunduki hawana uwezo wa kukabiliana na ghasia, na ndio maana hata wakikutanaga na real criminals kama bwana Hamza huwa wanauliwa kama Kuku(nafikiri unakumbuka walichofanywa na Hamza pale Salenda Bridge mwaka 2019).

Unaongelea waandamanaji 50,000 kuzuiliwa na askari mmoja, kwanin awe askari mmoja dhidi ya watu wote hao? Huo ndio ukilaza na kukosa waledi ninaousema.

Kwenye hilo jeshi lenu la polisi askari huwa wanafundishwa kulenga shabaha tu na kupiga watu virungu basi, na ndio maana hatuonagi mkitumia njia nyingine kukabiliana na ghasia.

Jaribu kuangalia hata polisi wa Afrika Kusini SAPS wanavyokabiliana na ghasia kwa waledi wa hali ya juu bila kupiga watu risasi za moto na waafrika kusini ni wakorofi kuliko hata watanganyika.
 
Mkuu hao h

Mambo mengine nyie wakristu mna shida sana mtu aje kuchomaa kanisa mnamwangalia TU, mbona domo kaya Ali uliwa kanisani tena kwa kipigo mbonam mnakua wajinga wajinga sana, nani KERA zama hizi bado nikulialia TU atae sogea kanisani fumua risasi
Hii ndio shida ya kwanza mnaingia kwenye mtego wa udini kwamba mtaandamana wakristo peke yenu
 
Sasa kama uliingia kitaa ukitaka kuchoma mali za watu. Uliingia kitaa ukiwa na panga mkononi, ni wewe mwandamanaji ukianza kuua askari na waalimu wasimamizi wa kura. Askari wakatumia tear gases ondoka ukalale hukutaka. Haitoshi ndugu mwandamanaji ukawakata vidole wasio wa chama chako waliopiga kura! Ndugu mwandamanaji una tofauti gani na Mbogamboga ambao wao kukosolewa ni madhambi?
Kwamba ndugu mwandamanaji itikadi ya chama chako ni Bora sana kwamba kila moja lazima aifuate?
Baba yangu ana miaka 66 sasa hakuna akijuacho zaidi ya mboga mboga mlimkata kidole!
Yaani ye hana uhuru wa kuwa Mbogamboga?
Badilikeni lazima mheshimu mawazo na itikadi za wengine
Aisee nmecheka sana ila pole sana! Ni kama Samuel Doe na Charles tylor
Yani saizi ukileta hoja isiyofungamana na upande ww mboga mboga😅😅! Itokee leo chama kingine kishike hatamu amin amin nakwambia mboga mboga watakutana na genocide.... ndo mana wazungu wanakwambia

He who fights with monsters should be careful lest he thereby become a monster. And if thou gaze long into an abyss, the abyss will also gaze into thee"​

the methods used to fight evil can corrupt the fighter, making them indistinguishable from the evil they oppose.
 
Back
Top Bottom