Sioni Gen Z Wakifanikiwa

Sioni Gen Z Wakifanikiwa

Umeandika nini sasa hapo?

Hivi huyo mtu atayewaza mawazo kama yako ya "serikali ina nia thabiti ya kuleta suluhu kupitia tume huru" atakuwa ni mtu ambaye ameyaona mauaji ya 29 October?

Je huyo mtu ina maana hajui suluhu ya haya ni huyo huyo anayeitwa suluhu ajiuzulu kwasababu ni muhusika wa kwanza wa matukio yote ya mauaji yaliyotokea?

Je huyo mtu atakuwa alikuwepo nchini wakati mitandao ikizimwa ili kutoa fursa kwa wauaji kufanya uovu wao bila kuonekana na dunia?

Je huyo mtu mwenye mawazo hayo atakuwa ana amini miili ya watu iliyotapakaa nchini ni video za kutengeneza za AI?

Je huyo mtu mwenye mawazo hayo atakuwa anaamini uchaguzi ulifanyika kikamilifu na matokeo ni halali kama yalivyotangazwa?

IKiwa utajibu Hapana kwenye moja ya swali kati ya hayo, basi jitafakari sana kuhusu standard ya empathy yako.
Bila zile risasi zilizopigwa na Polisi na JWTZ kuzuia magenge ya uharibifu wa mali, maafa yangekuwa makubwa sana.
 
Yanatakiwa yachomwe mbona wao wanasupport mali za watu kuchomwa moto na wahuni wao?
Kunaujinga mwingine huwa unamadhara hadi kwa muhusika , sina shaka kuwa kunabaadhi ya muda huwa unanufaika na ufahamu wako , am I wrong?
 
Nani ayalinde kwani misikiti Ina lindwa na nani, waislamu tumegawanyika hakuna muislamu wa kweli atae jiingiza kwenye huo mkumbo hao ni machawa wa BAKWATA na wapo kisiasa ona walivyo msema jpm hujaelewa nini
Walinzi wayalinde.
 
Mkuu unadhani kwanini Gen - Z dunia nzima wanakuja juu; Unaweza ukasema labda hawana uvumilivu lakini sio hivyo; Maisha yao ni magumu mpaka - Kijana mdogo Stress kibao; katoka Chuo (mzazi kauza shamba) ila bado jamii imeshindwa kumpa ujira hivyo bado anakuwa ombaomba bila hope ya kesho...

Kwa Bongo ilikuwa haijafikia hatua mbaya sababu madogo bado wana hope - Ila mtiti utakuja hapo kwa Gen Alpha....

Kutokana na Teknolojia na Automation bila kupata muafaka wa jinsi ya kuwapatia ujira (hence basic needs) hawa wengi ya French Revolution yatajirudia na yangeendelea sehemu tofauti ila Aristocrats walisoma alama za nyakati...
 
Logikos,

Changamoto ninayo iona ni kwa gen z kushindwa kuandamana kwa amani,hilo ndio tatizo kubwa sana

Wakiwa provoked na mabomu ya machozi cha kwanza watacho fanya ni kupaniki na hasira zao kuzihamishia katika kuharibu miundo mbinu na biashara za watu

Na hapo ndio uhalali wa kuitwa wahuni na vibaka utaonekana na kuchukuliwa hatua kali
 
My people,

Haya ni maoni yangu binafsi na si lazima yafanane na wengi wenu,na kutofautiana na wengi wenu nisionekane napinga harakati za kuikomboa Tanganyika

Kuna msemo mmoja wa kiingereza unasema ukitaka kumuua mbwa basi mpe jina baya,maana yake ni kwamba kwa kawaida au akili ya kawaida huwezi kumuua mbwa bila sababu na hasa kwa jamii ambayo wanapenda wanyama wa kufuga.

Ili umuue na kuepuka maswali mengi basi mapema sana unampa jina baya,na Watawala nao wametumia mfano huo huo kuwapa Gez Z jina baya ili wahalalishe kudili nao bila kuwa na tashuwishu nyingi.

Ndio maana umesikia wameitwa wahuni au wezi wa kuiba mali za watu na kuharibu miundo mbinu kama ambavyo tumeyaona yaliyotokea tarehe 29/10/25

Kwahiyo hawa Gen Z ambao wanapanga tena kuandamana tar 9/12/25 siku ya uhuru hawatakuwa na sifa nyingine yoyote ile isipokuwa ni ile ile ya kuitwa WAHUNI NA VIBAKA

Hapo utatumika msemo ule ule ukitaka kumuua mbwa basi muite jina baya,hapo kuna vijana wengine tena watauwawa,tena safari hii kwa kutaka kuiangusha Mamlaka au Serikalli

Msione hii tume ya Maridhiano imeundwa haraka,watapitia humo humo kwamba Serikali ina nia thabiti ya kuleta suluhu lakini wahuni wachache wanakwamisha hizi juhudi na kuleta machafuko hapa nchini,kwahiyo hawatavumiliwa na watashughulikiwa

Vile vile Serikali imeahidi kwamba ndani ya siku 100 italeta au kuanza mchakato wa kupata katiba yenye kuridhiwa na wananchi,hiyo ni fimbo nyingine ya kuwachapia Gen Z ambao sasa wanajulikana kama wahuni wachache.

Kwahiyo ukiangalia kwa mapana yake ni kwamba Serikali imechukua hatua kadhaa ili kuleta kinachoitwa maridhiano lakini kwa upande wa pili lawama zitakuja kwa GEN Z kwamba ni wahuni wachache ambao wanataka kuharibu amani ya nchi,hapo watashughulikiwa,je watashughulikiwa kwa kutumia nguvu kama ya awali? Hakuna anayejua muda utaongea.

Pili sioni uungwaji mkubwa wa watu katika kufanikisha hayo maandamano,watu wameumizwa na yale yaliyo tokea 29 october,wamepoteza wapendwa wao na sidhani kama watakuwa tayar kupoteza wengine tena.

Tatu ile athari ambayo jamii iliipata kama matokeo ya kuzuiwa majumbani na kuacha shughuli zao ili waathiri watu wengi sana,sioni hamasa ya watu kuingia kwenye mazingira yale tena

Nataka kusema nini hapa,maana yake ni kikundi kidogo tu cha watu wataingia barabarani na kukosa uhalali au sapoti ya watu wengi hivyo kukosa ile nguvu ya maandamano ambayo ingetakiwa itikise watawala na hatimaye nguvu ya umma ipate kuonekana

My take, ni ngumu sana kuuondoa utawala kwa maandamano ambayo hayana kiongozi,kwahiyo wote tunataka mabadiliko lakini sioni kuleta mabadiliko kwa stahili hii,sana sana italeta maafa na vijana wengi kupoteza uhai

Naamini kabisa kilichofanyika tar 29 October kimeiamsha dunia na kujua nini kinaendelea hapa Tanzania,ubaya umeonekana na sauti zimesikika,naamini hili halita pita hivi hivi ila litakuwa na athari chanya siku chache zijazo

Mungu ibariki Afrika na Mungu ibariki Tanzania

Ni hayo tu!
Wewe jifungie ndani na mwenzi wako ndo kitu unachokiweza
Mabadiliko hayahitaji waoga

Miaka 60 ya upuuzi imetosha
Lazima tuangushe muhimili wa uovu katika nchi yetu
 
Kuhusu sijui hoja ya waislamu kuvunja makanisa,hao watakuwa sio waislamu ila kikundi ambacho kinataka kufanya uhalifu kupitia jina la Uislamu

Maelezo ya Uislamu kuhusu kutovunja nyumba za ibada na masinagogi hata kwenye vita yapo Wazi kabisa,mambo hayo yamekemewa kwa uzito wake

Hakuna vita hapa nchini ya uislamu na wakristo never kabisa,familia zetu zote zimechanganya imani hizi mbili,kwahiyo tusiingie kwenye huu mtego ambao hauna maana.
 
My people,

Haya ni maoni yangu binafsi na si lazima yafanane na wengi wenu,na kutofautiana na wengi wenu nisionekane napinga harakati za kuikomboa Tanganyika

Kuna msemo mmoja wa kiingereza unasema ukitaka kumuua mbwa basi mpe jina baya,maana yake ni kwamba kwa kawaida au akili ya kawaida huwezi kumuua mbwa bila sababu na hasa kwa jamii ambayo wanapenda wanyama wa kufuga.

Ili umuue na kuepuka maswali mengi basi mapema sana unampa jina baya,na Watawala nao wametumia mfano huo huo kuwapa Gez Z jina baya ili wahalalishe kudili nao bila kuwa na tashuwishu nyingi.

Ndio maana umesikia wameitwa wahuni au wezi wa kuiba mali za watu na kuharibu miundo mbinu kama ambavyo tumeyaona yaliyotokea tarehe 29/10/25

Kwahiyo hawa Gen Z ambao wanapanga tena kuandamana tar 9/12/25 siku ya uhuru hawatakuwa na sifa nyingine yoyote ile isipokuwa ni ile ile ya kuitwa WAHUNI NA VIBAKA

Hapo utatumika msemo ule ule ukitaka kumuua mbwa basi muite jina baya,hapo kuna vijana wengine tena watauwawa,tena safari hii kwa kutaka kuiangusha Mamlaka au Serikalli

Msione hii tume ya Maridhiano imeundwa haraka,watapitia humo humo kwamba Serikali ina nia thabiti ya kuleta suluhu lakini wahuni wachache wanakwamisha hizi juhudi na kuleta machafuko hapa nchini,kwahiyo hawatavumiliwa na watashughulikiwa

Vile vile Serikali imeahidi kwamba ndani ya siku 100 italeta au kuanza mchakato wa kupata katiba yenye kuridhiwa na wananchi,hiyo ni fimbo nyingine ya kuwachapia Gen Z ambao sasa wanajulikana kama wahuni wachache.

Kwahiyo ukiangalia kwa mapana yake ni kwamba Serikali imechukua hatua kadhaa ili kuleta kinachoitwa maridhiano lakini kwa upande wa pili lawama zitakuja kwa GEN Z kwamba ni wahuni wachache ambao wanataka kuharibu amani ya nchi,hapo watashughulikiwa,je watashughulikiwa kwa kutumia nguvu kama ya awali? Hakuna anayejua muda utaongea.

Pili sioni uungwaji mkubwa wa watu katika kufanikisha hayo maandamano,watu wameumizwa na yale yaliyo tokea 29 october,wamepoteza wapendwa wao na sidhani kama watakuwa tayar kupoteza wengine tena.

Tatu ile athari ambayo jamii iliipata kama matokeo ya kuzuiwa majumbani na kuacha shughuli zao ili waathiri watu wengi sana,sioni hamasa ya watu kuingia kwenye mazingira yale tena

Nataka kusema nini hapa,maana yake ni kikundi kidogo tu cha watu wataingia barabarani na kukosa uhalali au sapoti ya watu wengi hivyo kukosa ile nguvu ya maandamano ambayo ingetakiwa itikise watawala na hatimaye nguvu ya umma ipate kuonekana

My take, ni ngumu sana kuuondoa utawala kwa maandamano ambayo hayana kiongozi,kwahiyo wote tunataka mabadiliko lakini sioni kuleta mabadiliko kwa stahili hii,sana sana italeta maafa na vijana wengi kupoteza uhai

Naamini kabisa kilichofanyika tar 29 October kimeiamsha dunia na kujua nini kinaendelea hapa Tanzania,ubaya umeonekana na sauti zimesikika,naamini hili halita pita hivi hivi ila litakuwa na athari chanya siku chache zijazo

Mungu ibariki Afrika na Mungu ibariki Tanzania

Ni hayo tu!
Akili yako imejaa mav
 
Hao nyumbu wanatakiwa watoke nje kwa wingi siku hiyo waendee kuiba na kuharibu mali za watu ili zoezi la kuwapiga risasi liwe rahisi wakibaki ndani wataendelea kusumbua kwahiyo watoke nje kwa wingi ila wawaage mama zao kabisa hatutarajii kuona mama zao wakijiliza mitandaoni maana offer ya mazishi ya bure kifurushi bado hakijaisha.
Mzee Kazi yaki ni ngumu sana,bila shaka hata malipo yako yatakua makubwa.
 
Nawakumbusha Gen Z kwa Mara nyingine tena. Polisi wana bunduki, risasi pia na zinaua!
Nb. Tusione vilio kwamba wamekufa ndugu zetu hizo tarehe zijazo!
 
RUBBISH. Njia pekee ya kunusuru machafuko yajayo ni Samia na genge lake la kigaidi kuachia ngazi, serikali ya mpito ndio ambayo itaongoza na kuleta maridhiano ya kweli kwa Wananchi.
Hili wimbi la Gen-Z ndio mwafaka kwa nchi za Africa na dunia ya tatu ambao tawala zao zimefeli kabisa katika mambo ya uchumi wamebaki kuwa na vikundi vyao vya ulaji huku vijana walio wengi wakihangaika. Sehemu ya kupulia kwa vijana ilikuwa ni uchaguzi huru ambao haupo, vikundi vya ulaji vimepora pia demokrasia ili viongozi waliopo wasiondoke madarakani.
Hili wimbi haliwezi kuzimwa kwa propaganda yoyote ile.
 
My people,

Haya ni maoni yangu binafsi na si lazima yafanane na wengi wenu,na kutofautiana na wengi wenu nisionekane napinga harakati za kuikomboa Tanganyika

Kuna msemo mmoja wa kiingereza unasema ukitaka kumuua mbwa basi mpe jina baya,maana yake ni kwamba kwa kawaida au akili ya kawaida huwezi kumuua mbwa bila sababu na hasa kwa jamii ambayo wanapenda wanyama wa kufuga.

Ili umuue na kuepuka maswali mengi basi mapema sana unampa jina baya,na Watawala nao wametumia mfano huo huo kuwapa Gez Z jina baya ili wahalalishe kudili nao bila kuwa na tashuwishu nyingi.

Ndio maana umesikia wameitwa wahuni au wezi wa kuiba mali za watu na kuharibu miundo mbinu kama ambavyo tumeyaona yaliyotokea tarehe 29/10/25

Kwahiyo hawa Gen Z ambao wanapanga tena kuandamana tar 9/12/25 siku ya uhuru hawatakuwa na sifa nyingine yoyote ile isipokuwa ni ile ile ya kuitwa WAHUNI NA VIBAKA

Hapo utatumika msemo ule ule ukitaka kumuua mbwa basi muite jina baya,hapo kuna vijana wengine tena watauwawa,tena safari hii kwa kutaka kuiangusha Mamlaka au Serikalli

Msione hii tume ya Maridhiano imeundwa haraka,watapitia humo humo kwamba Serikali ina nia thabiti ya kuleta suluhu lakini wahuni wachache wanakwamisha hizi juhudi na kuleta machafuko hapa nchini,kwahiyo hawatavumiliwa na watashughulikiwa

Vile vile Serikali imeahidi kwamba ndani ya siku 100 italeta au kuanza mchakato wa kupata katiba yenye kuridhiwa na wananchi,hiyo ni fimbo nyingine ya kuwachapia Gen Z ambao sasa wanajulikana kama wahuni wachache.

Kwahiyo ukiangalia kwa mapana yake ni kwamba Serikali imechukua hatua kadhaa ili kuleta kinachoitwa maridhiano lakini kwa upande wa pili lawama zitakuja kwa GEN Z kwamba ni wahuni wachache ambao wanataka kuharibu amani ya nchi,hapo watashughulikiwa,je watashughulikiwa kwa kutumia nguvu kama ya awali? Hakuna anayejua muda utaongea.

Pili sioni uungwaji mkubwa wa watu katika kufanikisha hayo maandamano,watu wameumizwa na yale yaliyo tokea 29 october,wamepoteza wapendwa wao na sidhani kama watakuwa tayar kupoteza wengine tena.

Tatu ile athari ambayo jamii iliipata kama matokeo ya kuzuiwa majumbani na kuacha shughuli zao ili waathiri watu wengi sana,sioni hamasa ya watu kuingia kwenye mazingira yale tena

Nataka kusema nini hapa,maana yake ni kikundi kidogo tu cha watu wataingia barabarani na kukosa uhalali au sapoti ya watu wengi hivyo kukosa ile nguvu ya maandamano ambayo ingetakiwa itikise watawala na hatimaye nguvu ya umma ipate kuonekana

My take, ni ngumu sana kuuondoa utawala kwa maandamano ambayo hayana kiongozi,kwahiyo wote tunataka mabadiliko lakini sioni kuleta mabadiliko kwa stahili hii,sana sana italeta maafa na vijana wengi kupoteza uhai

Naamini kabisa kilichofanyika tar 29 October kimeiamsha dunia na kujua nini kinaendelea hapa Tanzania,ubaya umeonekana na sauti zimesikika,naamini hili halita pita hivi hivi ila litakuwa na athari chanya siku chache zijazo

Mungu ibariki Afrika na Mungu ibariki Tanzania

Ni hayo tu!
We hujui kinachoendelea nyuma ya pazia tulia uone kifuatacho!
 
Kwahyo mkuu ushauri wako ni upi ili gen z wafanikishe lao?
 
Back
Top Bottom