Siongozi Genge la wasaka URAIS - Mbowe

Siongozi Genge la wasaka URAIS - Mbowe

Wakati nakubaliana nawe kwa 70% sidhani ni busara kutatua mgogoro wa mbio za urais kupitia magazeti. Sitaki kuamini kwamba busara za Mbowe ni kutumia gazeti kuwapelekea vijembe viongozi wenzake na kama amefikia hatua hiyo nashawishika kuamini kwamba njia za kawaida na zabusara zimegonga mwamba na kwamba the crisis is full blown!!

Hakuna kijembe pale, AMETOA AUTHORITATIVE STATEMENT, Labda itaonekana kama ni kijembe kutokana na kauli nyepesi kama za wauza kahawa tulizozizoea kutoka kwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaji, DR, Kanali ,Dhaifu Jakaya Mrisho Kikwete.

Mbowe hajalalamika lalamika na leo ametudhibitishia kwamba ukimya wake haukumaanisha kukwepa kirusi cha migogoro, hakuhairisha wala kusogeza mbele tatizo ili lije litatuliwe na wengine, au lijimalize lenyewe, amepiga ngumi ya kichwa, mliokuwa na ndugu kwenye hilo gari la urais nendeni mkatambue ndugu, hali za majeruhi sio nzuri, wameumizwa vubaya sana.
 
Ni kweli mkuu wachumia tumbo siku zote wanawaza URAIS.Mbowe anasema hajui hata kama ubunge atagombea,this is the matured leader we want!

Teh teh teh!na vipi kuhusu agenda yake ya siri yakumpiku slaa kugombea urais 2015?wakati slaa akijua mbowe anamsapoti kumbe jamaa nae anajipanga kumzunguka!kiongozi wa mkakati huo akiwa lema eti kwakuamini kwamba 2015 wananchi watachagua chama na sio mtu.mnajidanganya!japo namuamini mbowe kwa 15%,slaa 1.5% , kamanda zitto 99.999% ambapo kwa mathematisians kama mimi if you convert that percentage u get 100%.zitto tunakuamini kamanda utaondoa ghilba ya ukuskazini chadema.teh teh teh mbowe amchezea rafu slaa,siasa bwana!
 
hiyo kauli haijamtaji zitto,mbona shibuda humsemi?mbowe katoa katoa mtazamo wake na wakichama pia!
 
Teh teh teh!na vipi kuhusu agenda yake ya siri yakumpiku slaa kugombea urais 2015?wakati slaa akijua mbowe anamsapoti kumbe jamaa nae anajipanga kumzunguka!kiongozi wa mkakati huo akiwa lema eti kwakuamini kwamba 2015 wananchi watachagua chama na sio mtu.mnajidanganya!japo namuamini mbowe kwa 15%,slaa 1.5% , kamanda zitto 99.999% ambapo kwa mathematisians kama mimi if you convert that percentage u get 100%.zitto tunakuamini kamanda utaondoa ghilba ya ukuskazini chadema.teh teh teh mbowe amchezea rafu slaa,siasa bwana!

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/298724-kura-ya-maoni-zitto-vs-dr-slaa-23.html#post4413384
 
Hakuna kijembe pale........
amepiga ngumi ya kichwa, mliokuwa na ndugu kwenye hilo gari la urais nendeni mkatambue ndugu, hali za majeruhi sio nzuri, wameumizwa vubaya sana.

Mkuu, kama kweli kapiga ngumi ya kichwa na kwamba majerui wameumia vibaya sana, basi amepiga wanachama na viongozi wake. Maana yake mgogoro upo na badala ya kukukaa na kuyamaliza Mbowe ameamua avurumishe mangumi gari zima ambalo mwenyewe yumo kama dereva. Kazi kwelikweli.
 
Kuwa Kiongozi wa CHADEMA sio ticketi ya kuleta mvurugano na kuachiwa tu, hata sisi tunaokiaminia chama hiki tunajua kwamba viongozi wake ni binaadamu na wanaweza kukengeuka kama viongozi wa ccm. Kinachotutia moyo ni kwamba CHADEMA wanaye mwenyekiti mwenye wingi wa akili, busara na ujasiri wa kuwakemea viongozi ambao wanaonyesha kuenenda tofauti na direction ambayo wananchi wanategemea kuelekezwa.

Kwa hiyo uko sahihi, Kama DR SLAA na yeye alikuwa ameanza harakati za urais 2015, huko huko aliko habari zitakuwa zimemfikia, kama ni ZITTO , Shibuda, Tuntemeke nk wote hawawezi kudanganya, hiki kishindo ni kikubwa na ni mategeo yetu kimewafikia.

Sasa tunaenda hatua ingine, kuangalia ni nani atajinyenyekeza na kuendeleza kazi ya kuunganisha UMA wa watanzania kujiandaa na pigo la mwisho dhidi ya CCM 2015 au ni nani hasa ni Pandikizi la chuki, uroho wa madaraka uliopitiliza, kichwa maji, Kichwa Panzi, Akili ndogo, n.k
 
Reading between the lines, naona hapa anayepashwa hii mipasho ni Zito Kabwe....Chadema wanaanza kutumia mafuta yao kujikaanga. My take, it was unwise for Mbowe to make such statement for it cements the perception kwamba kuna mgogoro mkubwa Chadema.

You possibly read beyond the lines. That statement is an "air cleaner" and should be deemed as the party stand. PERIOD.
 
Kwa hiyo kila aliyeshiriki kampeni za CCM 2010 haturuhisiwi kushirikiana naye? Vipi Ole Milya?
Huyu alitangaza hadharani kuondoka kwake CCM na kujiunga CDM, sio sawa na hao!.
 
Kwa hiyo uko sahihi, Kama DR SLAA na yeye alikuwa ameanza harakati za urais 2015, huko huko aliko habari zitakuwa zimemfikia, kama ni ZITTO , Shibuda, Tuntemeke nk wote hawawezi kudanganya, hiki kishindo ni kikubwa na ni mategeo yetu kimewafikia

Nimekuelewa mkuu, sasa je mbona hiyo list yako haina jina Mbowe? Maana hao anaowataja nao wanasema yeye ndio anayeutaka urais. Au ndio kawaida, DEREVA HAKOSI SITI.
 
Watanzania tunachotaka ni maisha bora,matumizi bora na sahihi ya raslimali,demokrasia bila kujali nani kiongozi atakayesimamia.Anayelilia nafasi fulani ya uongozi,fitina na mbinu chafu hafai.Wote tu viongozi kwa nafasi mbalimbali tukianzia kwenye familia zetu.
 
Nimekuelewa mkuu, sasa je mbona hiyo list yako haina jina Mbowe? Maana hao anaowataja nao wanasema yeye ndio anayeutaka urais. Au ndio kawaida, DEREVA HAKOSI SITI.

Kuna mambo mengine ni ya kupuuzia unajua. Kwanza expectation ni kwamba Mwenyekiti ndio awe mgombea wa Urais, Vyama vyote vya siasa nchini mwetu husimamisha wenyeviti wa vyama vyao kugombea urais, walichofanya CHADEMA 2010 ni kitu kigeni kwetu, hivyo swala la mbowe kuutaka urais wala haitajiki kusema bali ni mategemeo yetu iwe hivyo.

Kama ndio kiongozi mkuu wa chama, kwa nini asiwe kiongozi mkuu wa nchi. Ukiona mtu anataka kushindana na mwenyekiti wake ujue anaweza kushindana hata na baba yake.
 
Reading between the lines, naona hapa anayepashwa hii mipasho ni Zito Kabwe....Chadema wanaanza kutumia mafuta yao kujikaanga. My take, it was unwise for Mbowe to make such statement for it cements the perception kwamba kuna mgogoro mkubwa Chadema.

MgonjwaUkimwi
 
good one mboww.... hofu yangu ni mchakato gani mtatumia kupata mgombea... kuna udhaifu mkubwa kwa sasa jinsi cdm wanavyopata wagombea
 
We ni nani hata utoe maaamuzi ya Tanzania nzima, u better keep quite n wait madame!

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/298724-kura-ya-maoni-zitto-vs-dr-slaa-23.html#post4413384
 
good one mboww.... hofu yangu ni mchakato gani mtatumia kupata mgombea... kuna udhaifu mkubwa kwa sasa jinsi cdm wanavyopata wagombea

Ndani ya CDM unafanyika utafiti maalum kwa kutumia timu ya wataalam wanaozunguka nchi nzima na kupata maoni ya wananchi ni nani wanataka agombee na siyo mtu mmoja anayeungwa mkono na magamba kuropoka barabarani.
 
Mbowe ni kiongozi thabiti sana ndiyo maana sishangai wajinga wachache wanamzushia mambo kedekede.
 
Back
Top Bottom