Siongozi Genge la wasaka URAIS - Mbowe

Siongozi Genge la wasaka URAIS - Mbowe

ZITTO KASHAANZA TAYARI...... Wengine wapo kimya.. Hii inaonyesha jinsi gani anatamaa kama za kikwete alivyokuwa anataka urais

Mkuu wangu yetu macho.
 
Iyo ya kumfananisha Mbowe na Obama ndo imenistua!!,ila na mi pia napita tu!
 
Zitto hata udiwani hawezi kushinda mwaka 2015, mwenye Not book na ayaandike maneno haya. tuombeane uhai kwa wale mtakaommis Bungeni.

Hatapata kwa kura labda Atapewa Viti maalumu Na JK Kama alivopewa mbatia. Anataka kugombea urais kupitia mgombea binafsi Huyu Hamas huwa a think bigger kabisa
 
Hatapata kwa kura labda Atapewa Viti maalumu Na JK Kama alivopewa mbatia. Anataka kugombea urais kupitia mgombea binafsi Huyu Hamas huwa a think bigger kabisa

Ni kweli mkuu tumeshamgundua.Anajua kamwe hakuna mtu mwenye akili timamu atakayempitisha kugombea urais kupitia CDM.Njia anayotaka kutumia na kikundi chake cha watu wa CCM ni kumtaka awe mgombea binafsi ili apunguze kura za CDM.
 
Utatafuta kazi nyingine wewe na akina John Mrema na kundi la wachaga mnaokula kwa ku kiss Mbowe's bum.
 
Utatafuta kazi nyingine wewe na akina John Mrema na kundi la wachaga mnaokula kwa ku kiss Mbowe's bum.

Utasema sana lakini wenzako tumeshika mpini na wewe umeshika makali.Hii ndiyo kauli inayowafaa wahuni kama nyie.
 
Reading between the lines, naona hapa anayepashwa hii mipasho ni Zito Kabwe....Chadema wanaanza kutumia mafuta yao kujikaanga. My take, it was unwise for Mbowe to make such statement for it cements the perception kwamba kuna mgogoro mkubwa Chadema.

As a Chairman, He has to attack any irregularities, for the interest of the party !
 
Hakika na mheshimu sana mzee huyu ana busara sana.

Big up mbowe, mungu azidi kukuongezea hekima!
 
Utatafuta kazi nyingine wewe na akina John Mrema na kundi la wachaga mnaokula kwa ku kiss Mbowe's bum.

Ww na kakundi kenu mmejiunga na chama juzi juzi mnataka madara ili mle kiurahisi mmeshitukiwa ss mnataangaza matusi na tuna taarifa kutokana na ukata ss mnajipeleka CCM kwa Shigela awe anawapa ruzuku ya kuishi mjini. Hasa kale kabinti ka BAVCHA ss kana hali mbaya sana ki uchumi baada ya kuondolewa kwny OPERATION ZA m4c. mwaka huu mpaka atajiuza tuu.
 
Huyu bwana mbowe naona uongozi km unampa shida sn, anasema haongozi genge la wasaka uraisi wakati chama chake kinajianda kwa uchaguzi wa urais, anetamka slaa mbowe angeunga mkono ila sijui kwanini anamwogopa sn zito, zito alipotangaza nia ya kugombea nafasi ya uenyekiti wa cdm mbowe alikulupuka kuanza kumshambulia zzk sasa amekurupuka kumjib zito sasa huyu sijui anashindana na zito au na ccm.
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Freemaan Mbowe amesema kamwe haongozi kundi au genge la wasaka vyeo na madaraka ndani ya chama chake bali anaongoza kundi la watu wanaopenda mabadiliko.

Kiongozi huyo amesema binafsi hawezi kwa sasa kusema atagombea Urais au Ubunge kwa sababu huu si muda wake hata kidogo.

Mbowe amesema mwanachama yeyote makini wa CDM kwa sasa ni muda wa kuwaunganisha wanachama na watanzania kwa ujumla na wala si muda wa kuwagawa kukimbilia madaraka.Kiongozi huyo amesema ndiyo maana makamanda wote wakiongozwa na Dr Slaa wamejichimbia vijijini kwa kazi moja tu ya kueneza vuguvugu la mabadiliko-M4C

Source: Tanzania Daima

molemo vp utagombea ubunge tena vunjo?
 
Back
Top Bottom