Alishaondoka siku nyingi. Hivi sasa yuko kambi ya Lowassa. Jina lake ni Ba.....wanajf,
katika kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2005 ccm walimtumia mwandishi wa habari wa chadema aliyekuwa anaambatana na mgombea wa urais kwa tiketi ya chadema,mbowe,ili kutoa taarifa za siri kuhusu mikakati ya chadema.taarifa hizi nilizipata kutoka kwa mtu muhimu sana katika kikosi cha kampeni za kikwete.
Simfahamu huyo mwandishi wa habari,lakini chadema waangalie ni nani alikuwa anaambatana na mbowe.kama bado wako naye,nawaomba wakae naye macho.