Mtz.mzalendo
JF-Expert Member
- Jul 22, 2012
- 357
- 49
"Watu wanaoependa mabadiliko" hata zitto ni mmojawapo ndio maana ametangaza mabadiliko mapema kuwa sasa ni zamu yake ila km akiidhishwa na cdm
Nasisitiza kuwa.......Zitto aliponea chupuchupu kukatwa jina na NEC -CCM kama mjumbe maalum toka CHADEMA ktk mchakato wa CCM huko Dodoma, hiyo ni lazima aonyeshe kuwa hatakiwi kutiliwa mashaka na CCM, bado yuko fit
Makamanda wote isipokuwa Zitto Kabwe!! Maana huu kijana yeye yuko kwenye ndoto za urais. Apuuzwe kama wengine walivyoshauri.Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Freemaan Mbowe amesema kamwe haongozi kundi au genge la wasaka vyeo na madaraka ndani ya chama chake bali anaongoza kundi la watu wanaopenda mabadiliko.
Kiongozi huyo amesema binafsi hawezi kwa sasa kusema atagombea Urais au Ubunge kwa sababu huu si muda wake hata kidogo.
Mbowe amesema mwanachama yeyote makini wa CDM kwa sasa ni muda wa kuwaunganisha wanachama na watanzania kwa ujumla na wala si muda wa kuwagawa kukimbilia madaraka.Kiongozi huyo amesema ndiyo maana makamanda wote wakiongozwa na Dr Slaa wamejichimbia vijijini kwa kazi moja tu ya kueneza vuguvugu la mabadiliko-M4C
"Watu wanaoependa mabadiliko" hata zitto ni mmojawapo ndio maana ametangaza mabadiliko mapema kuwa sasa ni zamu yake ila km akiidhishwa na cdm
Kwahiyo yeye ndo anajiona pekee CHADEMA AU? Amesahau Mtikila,sugu,Mnyika n.k kwamba wapo
ZITTO HAKUBALIKI MANA M4C HAKUWEPO NA WATZ CI WAJINGA KIASI HICHO
Zitto is succeeding in his bid to change the subject
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Freemaan Mbowe amesema kamwe haongozi kundi au genge la wasaka vyeo na madaraka ndani ya chama chake bali anaongoza kundi la watu wanaopenda mabadiliko.
Kiongozi huyo amesema binafsi hawezi kwa sasa kusema atagombea Urais au Ubunge kwa sababu huu si muda wake hata kidogo.
Mbowe amesema mwanachama yeyote makini wa CDM kwa sasa ni muda wa kuwaunganisha wanachama na watanzania kwa ujumla na wala si muda wa kuwagawa kukimbilia madaraka.Kiongozi huyo amesema ndiyo maana makamanda wote wakiongozwa na Dr Slaa wamejichimbia vijijini kwa kazi moja tu ya kueneza vuguvugu la mabadiliko-M4C
Source: Tanzania Daima
Assume ZZK ndiyo president
Kwahiyo yeye ndo anajiona pekee CHADEMA AU? Amesahau Mtikila,sugu,Mnyika n.k kwamba wapo
ZITTO HAKUBALIKI MANA M4C HAKUWEPO NA WATZ CI WAJINGA KIASI HICHO
Hivi Jina la Zitto limepita kwenye NEC ya CCM?