Sionekani humu sababu naumwa

Sionekani humu sababu naumwa

Nini zaidi mkuu? Pole sana, hope you will recover soon.
 
Pole, tukuletee nini tukija kukutembelea?
 
Pole mkuu!!!!
Uko kwenye matibabu au bado ni hangai za vipimo kuoata diagnosis!!!!!

Ugonjwa siri yako na daktari ila wawezaweka hints watu wakarahisisha kwa uwezo wa umoja huu!!!!!
 
pole sana mkuu ,Mungu akuponye ili tuweze jumuika nawe na shughuli za maendeleo pia
 
pole sana mi nikajua mikiki ya sikukuuu... jamani upone mapema pole sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom