Sionekani humu sababu naumwa

Sionekani humu sababu naumwa

Umekuja kuripoti ili usionekane mtoro?
Ugua pole chalii...
 
pole sana mpenzi! usijali tunakuombea inshaallah utapona mwaya..
 
Basi atakua anaumwa sana..
Niliwahi kupasuliwa tumbo hospitali mwaka jana,nilipozinduka tu baada ya kupata uwezo wa kujigeuza kitandani nikauliza simu yangu nilog in jf.
 
Back
Top Bottom