mi nauliza tu maana nimesoma shule ya kata, hivi ni 'hunt mouth' au 'hand to mouth?'
idea yako nzuri ila kuponda wanaofanya kazi na wapatao mikopo ni wazi kua umekula kitu kinachoitwa shisha tena iliyomixiwa na kibanzi.Kumbe ni uoga wa maisha tu kuhangaika kutafuta kazi. Nimegundua hakuna kitu kizuri kama kujiajiri. Instead ya kuomba kazi...ni bora kupiga mzinga kwa rafiki ama jamaa yako....akupe laki tu au laki tatu tu....na inaweza kukubadilisha mpaka watu wakashangaa. Kila kitu kipo Guanzuu aka Kariakoo......Aisee pale kuna fursa debe. Chukua vitu vya laki mbili..peleka mkoani....fanya Network Marketing....lazima utoboe.
Kazin hasara zake....kwanza manyanyaso...full kubanwa.....kuchokeshwa kama punda mlia...mawazo yako mengi ni kuiba.....
Pili...unaishi kwa hunt-mouth. Yan ukipatacho ndicho ukitumiacho kwa kula. Tunakuona bar. ..unakula vizuri na kubadilibadili vinguo vya kariakoo...hukosi hela ya kula na kuvaa but sio yakukufanya ufanikiwe. Yan unakuepokuepo tu..na hiko kigari cha mkopo. Full marafiki....kila weekend we ni kula bata za offer...u know.....hata hela ya kiwanja huna.
Tujiajili vijana. Kazi tuwaachie watoto wa mafisadi.
Kwa niaba ya Wamerekani!
unakula unachokipata yote na hakuna hata Akiba unaobakiza kama surplus hope umenipata mkuu.
Kumbe ni uoga wa maisha tu kuhangaika kutafuta kazi. Nimegundua hakuna kitu kizuri kama kujiajiri. Instead ya kuomba kazi...ni bora kupiga mzinga kwa rafiki ama jamaa yako....akupe laki tu au laki tatu tu....na inaweza kukubadilisha mpaka watu wakashangaa. Kila kitu kipo Guanzuu aka Kariakoo......Aisee pale kuna fursa debe. Chukua vitu vya laki mbili..peleka mkoani....fanya Network Marketing....lazima utoboe.
Kazin hasara zake....kwanza manyanyaso...full kubanwa.....kuchokeshwa kama punda mlia...mawazo yako mengi ni kuiba.....
Pili...unaishi kwa hunt-mouth. Yan ukipatacho ndicho ukitumiacho kwa kula. Tunakuona bar. ..unakula vizuri na kubadilibadili vinguo vya kariakoo...hukosi hela ya kula na kuvaa but sio yakukufanya ufanikiwe. Yan unakuepokuepo tu..na hiko kigari cha mkopo. Full marafiki....kila weekend we ni kula bata za offer...u know.....hata hela ya kiwanja huna.
Tujiajili vijana. Kazi tuwaachie watoto wa mafisadi.
Kwa niaba ya Wamerekani!
Hao ndugu na jamaa unaotaka kuwapiga mzinga hawajaajiriwa????? Hivi unadhani watu wote wanapaswa kujiajiri??? Ushawahi kufikiri kama ingetokea watu wote wakajiajiri ingekuwaje?????