Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,157
- 866,397
- Thread starter
- #61
MUSHEKY asante kwa mchango lakini sidhani kama umenisoma na kunielewa nilichoandika.. Hiki unnachoita mahaba sijui ulimaanisha nini hapa... Jaribu kusoma mtiririko wote tena wa kile nilichoandika pengine unaweza kupata maana halisiMkuu kwa credibility yako hupaswi kuanzisha nyuzi zilizojaa mahaba kiasi hiki
Tambua kwamba lengo letu la pamoja kama watanzania ni kuiona Tanzania kwanza ikifanikiwa katika kila nyanja bila kujali ni nani ama chama gani kinachosimama mbele
Vijana wengi hasa wa kiafrika hufanya kosa hili mahala pengi kwa kuabudu zaidi mihemko yao ya kisiasa kuliko uzalendo na uhalisia, na mabeberu hutumia mwanya huu kupandikiza "harakati uchwara" na chuki dhidi ya wenyewe kwa wenyewe
Naomba utambue bwana Jr. Tunachohitaji watanzania ni kuliona taifa linaelekea kwenye maendeleo endelevu bila kujali chama kipi kimeshika dola kwani hivi vyama vyote ni sawa tu na viongozi wake ni sawa tu tofauti ni majina tu kwa kua isingekuepo CCM na Chadema nchi ingekuepo na vingekuepo vyama vingine ambavyo si magufuli wala mbowe angeongoza vyama hivyo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jr[emoji769]