Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 57,240
- 90,296
Wenye wajibu wa kukemea na kupambana na vitendo vya kihalifu ni polisi na sio jeshi la wananchi.
Kazi ya jeshi ni kulinda mipaka ya nchi, katiba na uhuru wa nchi.
Vitendo vya kihalifu mitaani havihusiani na usalama wa mipaka ya nchi, katiba na uhuru. Wanaofanya uchaguzi haramu unaopelekea hadi machafuko na hata kutishia usalama wa nchi ndio wanakiuka katiba ya nchi na ndio ambao jeshi linawajibu wa kushughulika nao.