Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
sikuhitaji hata bure
Mamaafacebook?
Mapenzi ni bure!Pesa haiitaji kutumika kwenye mapenzi !Njoo Kyela ufaidi mapenzi yaliyo boreshwa!
Sijui makende kwenye kisosa,sijui maji kuungwa karafuu sijui kuogeshwa ni mambo ambayo yapo out dated na hayajaboreshwa toka tuzaliwe!
Mbeya tukachukua haya yote toka Tanga then tukayaboresha ndiyo maana sasa ni zaidi ya Tanga!!
Ehehehehehehe uwiiiiiii!
Last edited by a moderator: