Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,654
- 49,644
Kiasi unashangaa jinsi Gani watu wachoyo wa taarifa. Mtu anqkuona unanunua na ni jirani Yako anwkuacha tu ununue huku anajua kitakavyokulamba msimu wa mvua.😀 ndiyo ushangae na wewe mkuu waswahili wao ni bora wajenge tu ila kuchunguza kwamba najenga wapi hizo sio shida zao.
Mkuu issue sio mitaro maana huwa inazidiwa.Watanzania walivyokuwa na vichwa vigumu, hakuna aliyeweka akiba ya chakula wala kuhama mabondeni.
Hii ni kama October 29 watu hawakujiandaa, baada ya kukumbuka mateso ya October 29 Machi ya pasaka wakajaza misosi ndani baada ya Mange Kimambi kutishia tena kuwa kuna maandamano.
Kama litakuja vua la maana tutarajie misiba. Ishukuriwe serikali ya CCM ilikumbuka kuweka mitaro DR es salaam yote
Na magari pia ya kubeba hizo taka hamna.Hii el niño ikiwa na maafa, serikali iwajibike.
Mamlaka ya hali ya hewa wametoa tahadhari mapema mno, hadi watoto wana idea ya kitakachotokea.
Halafu kuna hawa wendawazimu wanahamasisha usafi halafu dustbins mitaani hakuna, sijui hizo taka raia wazitupe wapi kama sio kwenye mifereji.
Wapi hiyo mkuu?Tunakwenda kuumia sasa!View attachment 3671946
Changamoto sana Mkuu.Kiasi unashangaa jinsi Gani watu wachoyo wa taarifa. Mtu anqkuona unanunua na ni jirani Yako anwkuacha tu ununue huku anajua kitakavyokulamba msimu wa mvua.
wahamie wapi?Mkuu issue sio mitaro maana huwa inazidiwa.
Inatakiwa watu wahame mabondeni na huko vichochoroni wanako ishi.
Ndio tunasubiriaWapi hiyo mkuu?
Uhakika! 😎😀 mpaka watakapo zama ndiyo akili zao zinatapa taarifa.
Vipi babangu?Nakumbuka kipindi nikiwa marrrrrraaaangu kwa kina loose Nut nasikia kwa radio manzese yakumbwa na mafuriko
Huku tandale kwa bi mtumwa nyanyake na secretarybird akiwa kwao namtumbo
Sasa wanasafisha mitaro huku zile taka wakiziweka barabarani, jamaa jau sana hawa.Na magari pia ya kubeba hizo taka hamna.
Kiufupi wanafanya mambo wasiyo yataka uchafu kwao ndiyo maisha.