Sio mke mmoja tu, hata hao wanne hawatoshi pia

Sio mke mmoja tu, hata hao wanne hawatoshi pia

Mjadala mzur na wenye kufikilika, kwa kawaida mwanaume anafikilia ngono mara nyingi zaid kwa siku huku mwanamke anafikilia mara 1 tu kwa siku, na mwanaume anaweza kungonoka na wanawake hata 10 kwa siku km akiusikiliza moyo wake kitu ambacho mwanamke awezi kuwa na hamu iyo labda awe na tamaa ya pesa tu, kiimani ya dini wanne wanatosha lkn kitamaa ya moyo awatoshi eeh!

No research no right to speak
 
Yaani hapo mtoa mada umetoa mifano based on body structure lkn umesahau kuna race. Wapo watoto wa kiarabu, kihindi, kifilipino, kispaniola na watoto Fulani hv wachokozi kutoka America kusini, kuna wale waliochanganyia black na mzungu dah yaani me na mabinti damudamu. Naunga mkono hoja wanne hawatoshi [emoji1666]

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Kihalisia mke mmoja kama huna Roho Mtakatifu au by nature si mzinifu( wapo) ni ngumu mnoooo kutozini. Kama ya giza kwa binadamu yangewekwa mwangani tungeumbuka mno!
 
Basi tu,tumezaliwa tukajikuta wakristo tunaokataliwa, tena kwa kulazimishana, kuwa na zaidi ya mmoja. Kiuhalisia mwanaume alipangiwa wake kwa kadri awezavyo.

Mitume na wafalme walioa wengi tu na Mungu aliwabariki Sana. Huwa najiuliza huyu Mungu ya Ibrahim,isaka , Yakobo(Israel) Muda, Daudi, Suleiman na wengine, nikigeugeu, Hadi aliamua kubadili utaratibu?
 
KILA mwanamke ana utamu wake,

Stori za
"utazunguka bucha zote,nyama Ni ile ile"

Ni kujifariji tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwingine analamba koni mwingine hawezi.Mwingine anatoa tigo mwingine hawezi.Mwingine bahari, mwingine mnato nk.Mwingine mweupee pe, mwingine mweusi tii.Mwigine makalio ksma yote, mwingine pasi.Mwingine ndala, mwingine dede.
 
Kumekuwa na kauli ambayo inaegemezwa na uislamu ya kuwa mke mmoja hatoshi kwa hiyo bora wa nne.

Kwanza kauli hii sio sahihi ni kauli ya waislamu na sio kauli ya uislamu,ni waislamu wanasema hivyo na waislamu wanasema Mengi tu sio hili peke yake.

Mwanaume hajawahi kutosheka na mwanamke kamwe hata allah hili jambo analijua ndio maana akatuachia japo huo upenyo wa ruhusa japo wanne tupate.

Lakini kiuhalisia tukija kwenye tafsiri ya kutosha basi hao wanne hawatoshi kwa sababu kila siku wanazaliwa warwmbo wapya ambao utawaona wazuri zaidi ya mkeo na unatamani wangekuwa wake zako na hao, hii pia ni dalili kuwa mwanaume hatosheki na wanawake lazima atawatamani tu.

Tukirejea katika historia za hadithi za Mtume sala na salamu ziwe juu yake utakuwa kuna watu aliwasilimisha wakiwa na wakw kumi.

Mwanaume mmoja wanawakw kumi yaani alizidi hasa mpaka hao wanne,mtume akamuambia waache sita ubakia na wanne.

Laiti ingekuwa wanawake wanne ndo wanatosha basi pasingepatikana watu kama hawa hapo zamani wenye wanawake zaidi ya wanne.

Tumeruhusiwa kuwa na wake wa nne sio kwa sababu ndo wanatosha hapana bali kwa sababu Dini imetaka tukomee hapo na sio vinginevyo.

Wewe fikiria mfano tu una wake saba
1. Sanchoka
2. Poshi kwini
3. Marehemu Mmasogange
4. Hamisa Mobeto
5. Beyonce
6. Vera Sidika
7. Rihanna.

Hivi kama wewe utatosheka na wanne tu au utabaki nao hao wote saba ?

Bila shaka utamiliki ngoma zote saba hapo na utaenda nazo vizuri tu.

Kuchoka kupo kama ambavyo mtu anachoka akiwa na mke wake mmoja.

Hivyo dhana ya kutisheka ni pana mno na wala dini haikusema tuoe kuanzia wawili ati kwa sababu mmoja hatoshi,hizi ni tafsiri zetu tu.

Kuna watu wana wake wanne bado wanatoka nje kuzini,kuna watu wana mke mmoja na wanatulia.

Hivyo kuzini ama kutozini ni state of mind kuamua kwa sababu hata kama huna mke dini haijakuruhusu uzini ati kwa kuwa huna mke bali dini imekutengenezea uwezo wa akili yako kuepuka zinaa.
Takhbiiiiiiirrrrr !!
 
Kwenye ao wake wanne Shehe Kipoozeo yeye anashauri waweje,wembamba au wanene?
 
Kwenye orodha ya wake hapo umepunja idadi baada ya kumuweka masogange kwani ashakufa. Ongezea mmoja hapo
 
Sawa, kwa hiyo wangapi ndio wanawatosha!?
 
Kumekuwa na kauli ambayo inaegemezwa na uislamu ya kuwa mke mmoja hatoshi kwa hiyo bora wa nne.

Kwanza kauli hii sio sahihi ni kauli ya waislamu na sio kauli ya uislamu,ni waislamu wanasema hivyo na waislamu wanasema Mengi tu sio hili peke yake.

Mwanaume hajawahi kutosheka na mwanamke kamwe hata allah hili jambo analijua ndio maana akatuachia japo huo upenyo wa ruhusa japo wanne tupate.

Lakini kiuhalisia tukija kwenye tafsiri ya kutosha basi hao wanne hawatoshi kwa sababu kila siku wanazaliwa warwmbo wapya ambao utawaona wazuri zaidi ya mkeo na unatamani wangekuwa wake zako na hao, hii pia ni dalili kuwa mwanaume hatosheki na wanawake lazima atawatamani tu.

Tukirejea katika historia za hadithi za Mtume sala na salamu ziwe juu yake utakuwa kuna watu aliwasilimisha wakiwa na wakw kumi.

Mwanaume mmoja wanawakw kumi yaani alizidi hasa mpaka hao wanne,mtume akamuambia waache sita ubakia na wanne.

Laiti ingekuwa wanawake wanne ndo wanatosha basi pasingepatikana watu kama hawa hapo zamani wenye wanawake zaidi ya wanne.

Tumeruhusiwa kuwa na wake wa nne sio kwa sababu ndo wanatosha hapana bali kwa sababu Dini imetaka tukomee hapo na sio vinginevyo.

Wewe fikiria mfano tu una wake saba
1. Sanchoka
2. Poshi kwini
3. Marehemu Mmasogange
4. Hamisa Mobeto
5. Beyonce
6. Vera Sidika
7. Rihanna.

Hivi kama wewe utatosheka na wanne tu au utabaki nao hao wote saba ?

Bila shaka utamiliki ngoma zote saba hapo na utaenda nazo vizuri tu.

Kuchoka kupo kama ambavyo mtu anachoka akiwa na mke wake mmoja.

Hivyo dhana ya kutisheka ni pana mno na wala dini haikusema tuoe kuanzia wawili ati kwa sababu mmoja hatoshi,hizi ni tafsiri zetu tu.

Kuna watu wana wake wanne bado wanatoka nje kuzini,kuna watu wana mke mmoja na wanatulia.

Hivyo kuzini ama kutozini ni state of mind kuamua kwa sababu hata kama huna mke dini haijakuruhusu uzini ati kwa kuwa huna mke bali dini imekutengenezea uwezo wa akili yako kuepuka zinaa.

Neema za allah halafu unapewa nguvu ya kupiga mizigo 70.
 
Tuchukue waine(kwa matamshi ya kiha) ili kila mmoja apate, ila tukichukua saba saba au kumi kumi hawatatosheleza,
 
Basi tu,tumezaliwa tukajikuta wakristo tunaokataliwa, tena kwa kulazimishana, kuwa na zaidi ya mmoja. Kiuhalisia mwanaume alipangiwa wake kwa kadri awezavyo.

Mitume na wafalme walioa wengi tu na Mungu aliwabariki Sana. Huwa najiuliza huyu Mungu ya Ibrahim,isaka , Yakobo(Israel) Muda, Daudi, Suleiman na wengine, nikigeugeu, Hadi aliamua kubadili utaratibu?
Duuh
 
Kumekuwa na kauli ambayo inaegemezwa na uislamu ya kuwa mke mmoja hatoshi kwa hiyo bora wa nne.

Kwanza kauli hii sio sahihi ni kauli ya waislamu na sio kauli ya uislamu ni waislamu wanasema hivyo na waislamu wanasema Mengi tu sio hili peke yake.

Mwanaume hajawahi kutosheka na mwanamke kamwe hata Allah hili jambo analijua ndio maana akatuachia japo huo upenyo wa ruhusa japo wanne tupate.

Lakini kiuhalisia tukija kwenye tafsiri ya kutosha basi hao wanne hawatoshi kwa sababu kila siku wanazaliwa warembo wapya ambao utawaona wazuri zaidi ya mkeo na unatamani wangekuwa wake zako na hao, hii pia ni dalili kuwa mwanaume hatosheki na wanawake lazima atawatamani tu.

Tukirejea katika historia za hadithi za Mtume sala na salamu ziwe juu yake utakuwa kuna watu aliwasilimisha wakiwa na wake kumi.

Mwanaume mmoja wanawake kumi yaani alizidi hasa mpaka hao wanne, mtume akamuambia waache sita ubakia na wanne.

Laiti ingekuwa wanawake wanne ndo wanatosha basi pasingepatikana watu kama hawa hapo zamani wenye wanawake zaidi ya wanne.

Tumeruhusiwa kuwa na wake wanne sio kwa sababu ndo wanatosha hapana bali kwa sababu Dini imetaka tukomee hapo na sio vinginevyo.

Wewe fikiria mfano tu una wake saba
1. Sanchoka
2. Poshi kwini
3. Marehemu Mmasogange
4. Hamisa Mobeto
5. Beyonce
6. Vera Sidika
7. Rihanna.

Hivi kama wewe utatosheka na wanne tu au utabaki nao hao wote saba ?

Bila shaka utamiliki ngoma zote saba hapo na utaenda nazo vizuri tu.

Kuchoka kupo kama ambavyo mtu anachoka akiwa na mke wake mmoja.

Hivyo dhana ya kutisheka ni pana mno na wala dini haikusema tuoe kuanzia wawili ati kwa sababu mmoja hatoshi, hizi ni tafsiri zetu tu.

Kuna watu wana wake wanne bado wanatoka nje kuzini, kuna watu wana mke mmoja na wanatulia.

Hivyo kuzini ama kutozini ni state of mind kuamua kwa sababu hata kama huna mke dini haijakuruhusu uzini ati kwa kuwa huna mke bali dini imekutengenezea uwezo wa akili yako kuepuka zinaa.
Mwanamke mmoja anatosha kabisa.

Kutaka zaidi ni tamaa tu zisizo na mwisho mwema.

Kwa kawaida binadamu ana hulka ya kutamani kitu asichokuwa nacho. Au sometimes anataka kitu fulani ili apate sifa tu kwa walimwengu.

Ndio maana unaweza "kugonga" wanawake 2,000 lakini bado ukawa kama vile hujawahi kugonga.

TAMAA zinaweza kukufanya kile unachokiona utamani kowe chako: MALI ZOTE, PESA ZOTE, WANAWAKE WOTE, KILA KIPAJI CHA MTU, UKIONA MTU ANAPENDWA UNATAKA UNGEKUWA WEWE, VYEO VYOTE WEWE, Uhai wa Mtu fulani ungependa usiwepo n.k

Sasa kwa muktadha huo, hata ukiachana tu na dini, siyo USTAARABU. Dunia ingekuwa haiba utaratibu zaidi ya Uonevu na uwanja wa fujo.

Hao wanawake uliowataja ukiwavua, utakuta ni wanawake wa kawaida tu kama mkeo ndio maana wanaachwa vile vile.
 
Kujumuisha marehemu kwenye orodha yako ni ujinga na udhalilishaji, rejea na umuondoe tafadhali.
 
Back
Top Bottom