Sio mke mmoja tu, hata hao wanne hawatoshi pia

"Tofauti kati ya hawa viumbe ni muonekano wa nje tu ,nothing more nothing less"
 
Kujumuisha marehemu kwenye orodha yako ni ujinga na udhalilishaji, rejea na umuondoe tafadhali.
Ujinga ni kwako mkuu usilazimishe na mimi niamini kama wewe.

Kumtaja marehemu kwa mazuri sioni tatizo.
 
Nakazia huo ni ujinga na udhalilishaji, hakuna cha kutaja kwa mazuri hapo mada inahusu tamaa zako za ngono... shame!
 
Sawa mkuu ninachosema usinilazimishe niwe na mtazamo kama wako.

Hakuna uthalilishaji.

Udhalilishajia kwangu uwe umekufa ama upo hai ni udhalilishaji tu.

Kwa hiyo kama ni udhalilishaji ilikuwa na hao wengine ni udhalilishaji pia.
 
Uko sahihi mkuu, cheers!
 
Mmoja hatushi wanna hawatoshi...nyie mnaangalia tamaa zenu...Hao wanna work unaweza waridhisha?..au mnafikiria tamaa mnazo nyie TU..

Huyo Mswati mwenye wake kibao..nahakika atakuwa anasaidiwa...HAWEZI RIDHISHA WOTE HAO...
 
Back
Top Bottom