Hongera mkuu, mwaka wako huu ndio kwanza ligi zinaanza. Billionaire mtarajiwa kupitia bettingNimeweka makusudi hapa Ili niwaone masikini kama wewe mnavyoumia
Soon utakuwa tirionea mkuu. Kila lakheriNdio maana yake lazima niwe billionaire
Wewe bado sana umeanaa kubet juzi nini kwahiyo sport pesa na M bet ndio makampuni lakubwa yaliyopo tanzaniaMakampuni ya kamari ni menngi sana Tanzani; huenda takriban 100. Lakini je makampuni makubwa ni yapi? Ninajua SportPesa na MBet ni makubwa je mengine ni yapi; nimeahi kusoma uwpo wa WasafiBet, PMBet, Betika na Meridianbet. Mengine ni yapi, na je huwa kweli watu huwa wanahsinda na kupata hela au wote huishia kuchangia kwenye mkoba wa kampuni na kubakiza wachache kama mheshimiwa kuhamasisha wengine
Ayo makampuni wanatumia niche punters...Makampuni ya kamari ni menngi sana Tanzani; huenda takriban 100. Lakini je makampuni makubwa ni yapi? Ninajua SportPesa na MBet ni makubwa je mengine ni yapi; nimeahi kusoma uwpo wa WasafiBet, PMBet, Betika na Meridianbet. Mengine ni yapi, na je huwa kweli watu huwa wanahsinda na kupata hela au wote huishia kuchangia kwenye mkoba wa kampuni na kubakiza wachache kama mheshimiwa kuhamasisha wengine