Sio mbaya kushea yanayoendelea huko PM

pm raha sana kuna member mmoja alinitumia nyuchi eti nikamsaidie kufyeka nyasi lol!
 
PM ni mahali penye mvuto wa mtumiaji. Matokeo ya PM huja kwa njia ya Nyuzi, ziwe mbaya ama nzuri😀
 
PM wanatongozana madume rijali yakigundua yananuna balaa
 
Huko we acha tu. Kuna shangingi moja nilim PM mwaka jana hakunijibu basi hadi leo nna kijiba cha roho. Nikawa nikiona amekomenti kwenye uzi nalipita jukwaa ka naruka moto siku moja akani quote komenti yangu weee nilimuwashia moto ule wa jehanamu una afadhali.
 

Hahahaaa....watu mna kazi kweli
 
Uliza_Bei;10373972]PM wanatongozana madume rijali yakigundua yananuna balaa, ulijuaje?
 
ulijuaje kuwa ni shangingi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…