dudupori
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 1,793
- 1,903
Nadhani hili ndilo jibu sahihi...Kuna incidents hazihitaji kupima, chakula kile hakikuandaliwa kwa ajili ya Rais kwa hiyo hakungekuwa na intention yoyote kwamba kimefanyiwa ujanja.
Najua utajifanya hujaelewa ili kumtetea Rais wenu wa wanyonge na upate buku 7 yako mkono iende kinywani.