Sio kweli chakula cha Rais lazima kipimwe kabla ya kuliwa


rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
6,376
Likes
6,718
Points
280
Age
41
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
6,376 6,718 280
Binafsi naona watu wana maoni mengi kuhusiana na Suala hili lakini Ukweli ni Kuwa Yule jamaa anaeuza madafu na yule wa miwa walikuwa katika shughuli zao za kawaida tu na hakuna cha Usalama wa taifa kupanga wala nini maana Yule jamaa hawezi sema atauza madafu yaliyowekwa Sumu na Hata yeye hakujua kama Rais anaweza nunua dafu kwakee...! Ingekuwa kula labda mhahawani hapo mngesema lazima movie ipangwe maana Kuwekewa sumu ni rahisi... Ila madafu 30 yale yote mpaka ukampa dafu lenye sumu ni kazi sana maana anachagua mwenyewe...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,262,453
Members 485,588
Posts 30,122,838