Mr Antidote
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 952
- 1,298
Stolen childhood...inaniuma kama mzazi
His eyes can speak it all fear n hatredHapana kisaikolojia haka katakuwa kizazi cha burundi ndio anachoonaga tangu azaliwe hajyi kingine zaidi ya vita tu
Nimeumizwa na hii picha angalia macho yake yalivyo ! Ni macho yaliyoona mengi mabaya na ya kutishaHakuna kitu kibaya kama kumpandikiza chuki mtoto mdogo. Huyo dogo kwa hali aliyo nayo hapo anaweza kula nyama ya mtu huku mtu akiwa hai.
Acha kabisa
Its true facial expression.The boy is just waiting for the right time.His eyes can speak it all fear n hatred