It's true bla kujiongeza litakulaSasa uko na mtu ambae anayaona maisha yako halisi alafu anakuomba iphone6+ sijui, wakati huo unaishi kwenye nyumba ya kupanga, hivi huyo utategemea akushauri kununua hata kiwanja!! Inabidi ujiongeze mwenyewe.
Hapa nmepapenda aiseeee inabid nije niulize vizurhuyo ninaemuandaa
Hata sisi wanawake huwa tunaangalia pia, mwanaune unakaa nae ukisikiliza plan zake unaona kabisaa anahitaji msaada wa mawazo asonge mbele huyu hata asipokuwa wangu basi aje awe mume bora kwa mwenzangu ambae atakuwa amejaaliwa, ila sasa kila ukihangaika holaaaa!! Chaah unaona tu taabu yote ya nini! Ngoja nijikate nami nikamuandae wangu huko.
Ni kweli kabisa, ila kwa haya mapenzi yetu ya kuviziana ni kukamuana tu. Ukiishiwa nahamia kwa mwenye nazo uhangaie mwenyewe huko.It's true bla kujiongeza litakula
Kwako mazma
Hawa wa I phone 6
Hawez hata kukushaur ufanyej ili
Utoke kwny pango ulilopanga
Mwny upendo wa dhat n yule
Atayekushaur jins
Unavotakiwa kuinuka
Ulikokaa na kutembea
Ukisonga mbele kwa aman
Hata wanaune wanahitaji ready made women pia, hakuna anaetaka shida ujue.Well said but wanawake sikuizi wanahitaji already developed guy ndo wazee sasa to build with a man from nothing to something ts too rare ila wacha nijipange ntarudi baadae
mmmh jumapili ya leo kwel ina upako naona tunakwenda vizur kabisa na mkwe wang
Njoo tu mkwe.
Haa haa haa hapoNi kweli kabisa, ila kwa haya mapenzi yetu ya kuviziana ni kukamuana tu. Ukiishiwa nahamia kwa mwenye nazo uhangaie mwenyewe huko.
Ila shida inakuja pia kwa mtu anayekuthamini kiasi cha kujitoa kuhangaika kuhakikisha unasonga mbele je wewe unamthamini vivyo hivyo? It has to be an effort of both of you.
Kabisaaaa maana kidogo aogopa
Yaani acha tu, yaani kama mtoto vile unamwambia usichezee matope anakuchekea tu, ukiingia ndani ukirudi unamkuta ndio kajichafua zaidi. Sasa bora hata mtoto utamkaripia kidogo astuke!!
ha ha ha take the opportunity whike it is one your table
Subiri j3 ianze ndio utaisoma namba.
Enjoy the moment while it lasts.
Kwakweli lazima iwe two way traffic, ila kama malengo ni kukukamua waiii unakamuliwa tu then utabaki na shida zako mwenyewe. Na wakamuaji ni good pretenders yaani kitambo ugundue ushaliwaaa!Haa haa haa hapo
Kwmy.kuviziana kila mmoja
Anavizia chake sasa cjui n yupi
Atawah kummaliza mwezie
Maana nyie mwavisia walet
Ikikata haoooooo
Mme pita kushoto kama umeme
Na cc tunavisia kupata papuch
Kitambo tuipate na tumeswet co
Kidogo tukiipata na cc haooo
Walet icje ikawa flat
Hapo kuthaminwa sasa mhhh
N.mtihan maana unaemthamin
Unamuonesha kila kitu
Kumaanisha unajitaji life la
Kuish nae
Lakin sasa unakata tamaaa
Pale unapoona responsi
Yake kwako n ziroooo
Hapo ndo unajua kupaka
Upepo.rangi co kaz rahis